Tuna viti vingapi hadi sasa wana jf wenzangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna viti vingapi hadi sasa wana jf wenzangu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Babasean, Nov 5, 2010.

 1. B

  Babasean Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wandugu!
  NInaomba mnijuze mwenzenu niko nyuma kidogo hasa kwa kuwa siku mbili hizi nilikuwa nje kabisaa ya mawasiliano ya aina yoyote ile.
  naomba kufahamu idadi ya viti vya ubunge tulivyochukua hadi sasa, hapa namaanisha vya Chadema.
   
 2. N

  Nampula JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani ni 23 mkuu
   
 3. B

  Babasean Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkubwa! Ubarikiwe na Mungu na wana Chadema woote
   
Loading...