Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Hii nchi Ina laana kama balaa bluu.
Tangu juzi India inalalamika kupokea watu wao wanaorudi kutoka Tanzania wakiwa na Omicron the latest COVID-19 na walipimwa huku wakawa Negative. Nashangaa hakuna mwenye dhamana anayejibu chochote. Watu wamekaa kimya na kisheria ukinyamaza Ina maana umekubali
Inawezekana Waziri wa afya hajui Kingereza Kwa hiyo hana ujasiri wa kujibu. Au inawezekana hata hata hajui nini kinaendelea huko Duniani
Nikuombe Mama Samia hebu hebu ongoza nchi kisasa. Ongoza nchi kimataifa. Kaa na teamwork inayojielewa. Hawa mbwa wanaobwekea ndani tu sio wawindaji watatuchelewesha. Dunia siku hizi ni kama Kijiji. Taarifa inatakiwa ijibiwe punde tu inapotoka otherwise kuna nia ovu inakuja.
Nishauri tu jambo Moja Kwa kiongozi unaeona linamfaa achukue hili
Kwenye utalii Kuna kitu kinaitwa REVIEWS
Kila ukipata mgeni unajitahidi kumhudumia vizuri Ili kwenye TripAdvisor akuandikie review nzuri
Huwa wageni wakitaka kusafiri na Company yako wanaangalia waliokwisha kusafiri na wewe kwanza wameandika nini mtandaoni (reviews) wanashauri nini wenzao Ili wachague kusafiri na wewe.
Kama mgeni akisema nilisafiri na wewe mfano BAKARI TOURS lakini sikufanikiwa kuona rhino
Basi saa hiyo hiyo inatakiwa BAKARI TOURS ijibi Ile review Sababu ya mgeni kutokuona rhino kulisababishwa na nini
BAKARI TOURS akinyamaza ana kuwa amekubali kuwa mgeni hakuna rhino na ni Kosa la kampuni na guide alikuwa sio professional Kwa hiyo adhabu inakuja hutapokea booking
So ushauri wangu Kwa Waziri wa afya na utalii waache kukaa tu wakijua mambo yanakuja kirahisi
Hii taarifa inaenda kulaza chini utalii uliokuwa umechangamka tayari zaidi ya nchi yeyote Africa mashariki kama sio Africa nzima
Mambo yalishaanza kuwa mazuri
Tanzania has became alread the best destination of Tourism kipindi hiki hali ilivyotulia na hata wakati wa covid iliyopita
Ombila langu viongozi msibweteke namna hii kama mtu hujui Kingereza ni vizuri ukatafuta mtu wa kukusaidia ujibu tuhuma mtandaoni
Vijana wanaojua lugha wako wengi hata kazi hawana wako mitaani
Tafuta kijana mmoja Kaa nae Mahali muambie andika hapa hivi na hivi na hivi
Then ana submit biashara imeisha
Let the world know we're alive
Tusiwe kama inchi mfu (deadland)
Asante.