Tuna safari ndefu mno Watanzania, hatujali muda kabisa.

Wrevta

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
1,442
Reaction score
1,733
Kazi iendelee!. Kuanzia maofisini, mashuleni, na sehemu zote walizojaa Watanzania, mambo yote ni hovyo hovyo tu, sijui ni kwenye kipi tuna "usiriazi".

Hii imeathiri mpaka Mtanzania mmoja mmoja kwenye jamii pana ya Watanzania. Mtu unamuuliza swali "Unahitaji kula chakula muda huu?", badala ya kujibu kuwa anahitaji au hahitaji atajibu "Mmh! Kwa nini umeniuliza hivyo?". Hapo mjadala unaanza sasa.

Maongezi yaliyotakiwa kuchukua dk 2 yanakwenda mpaka robo saa pasipo kufika muafaka.

Hatupo breaf kabisa hasa kwenye ujanja wa kujieleza kama wenzetu Wamagharibi na Wazungu kwa ujumla wao.

Swali moja linazaa mjadala mzito mno.
Yaani njiani unaona kabisa mtu wa nyuma yako anawahi ana haraka na kiungwana unatakiwa umpishe kwa kuwa wewe huna haraka, ila nawe unakaza na mwendo wako wa pole pole.

Yaani Mtanzania ukimjibu breaf atakutangaza unajivuna, wanataka mada ya dk 5 ichukue nusu saa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Sio watanzania.

Hata wamarekani weusi sifa yao ni hiyo.

Nadhani as a race huwa hatuna haraka na tunawahi kuridhika.
 
Kazi iendelee!. Kuanzia maofisini, mashuleni, na sehemu zote walizojaa Watanzania, mambo yote ni hovyo hovyo tu, sijui ni kwenye kipi tuna "usiriazi".

Hii imeathiri mpaka Mtanzania mmoja mmoja kwenye jamii pana ya Watanzania. Mtu unamuuliza swali "Unahitaji kula chakula muda huu?", badala ya kujibu kuwa anahitaji au hahitaji atajibu "Mmh! Kwa nini umeniuliza hivyo?". Hapo mjadala unaanza sasa.

Maongezi yaliyotakiwa kuchukua dk 2 yanakwenda mpaka robo saa pasipo kufika muafaka.

Hatupo breaf kabisa hasa kwenye ujanja wa kujieleza kama wenzetu Wamagharibi na Wazungu kwa ujumla wao.

Swali moja linazaa mjadala mzito mno.
Yaani njiani unaona kabisa mtu wa nyuma yako anawahi ana haraka na kiungwana unatakiwa umpishe kwa kuwa wewe huna haraka, ila nawe unakaza na mwendo wako wa pole pole.

Yaani Mtanzania ukimjibu breaf atakutangaza unajivuna, wanataka mada ya dk 5 ichukue nusu saa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Tubadilike sasa

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Unamuuliza mtu jina vizuri tu..
'Unaitwa nani?
Utasikia nani?? Mimi??

Me huwa nawajibu vizuri tu sasa hapa naongea na nani?? Huku nacheka..

Ila yote kwa yote tumetofautiana akili na uelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom