Tuna mashaka sana na Elimu yetu kwa sasa.

Tuna mashaka sana na Elimu yetu kwa sasa.

Mkuu! Unabofya na kuandika ili chapisho ukiwa wapi?

Mimi na familia yangu tunaishi hapa PALM VILLAGE floor ya 5, hizi mboga mboga na kufuga tukuku na tusungura watoto watafanyia wapi.
Huo ni mfano tu yakhee..kulikuwa na Somo la sanaa...hata kuchora tu wanaweza kwa hapo ghorofani,
 
Nawashukuru baba na mama kwa kunizaa mapema nikapata elimu nzuri chini ya utawala wa Mwalimu
 
Back
Top Bottom