Mume ana haki ya kujuwa ukweli. Kama mwajiri ataamuwa kumweleza wala haitakuwa na shida kwani kanuni zinamlinda.hapa ni mwajiri kutumia busara kuona kwamba jambo hili akieleza litaweza kuwa na madhara gani kwa familia ya mtumishi aliyesababisha makosa.
Kanuni za utumishi (standing order)zinatambua haki za mume,mke na mtoto kwahiyo mwenza yeyote ana haki ya kwenda kushtaki kwa mwajiri kwa issue yeyote inayoathiri familia kwa namna moja ama nyingine.kwa upande wa suala la huyu mzee na mkewe ni haki kabisa kwa mwajiri kumweleza ukweli mwanaume tatizo lililopelekea mkewe kuachishwa kazi.lakini sisi kama binadamu sometime unatakiwa kutumia busara na kuona side impact endapo utaeleza ukweli wa jambo hilo.
Bro, mumewe kapeleka malalamiko akihitaji malalamiko kwa maandishi, na itabidi wamjibu kwa maandishi pia.
Now, wakidanganya na Jamaa akaamua kufuatilia kwenye vyombo husika, ni issue nyingine kubwa sana. Besides, i'm sure huyo bi Mkubwa atakuwa kajaribu sana kumueleza mzee kilichotokea but he didn't buy it, ndio maana kawatega kwa maandishi tena.
EXCOM ni nani au ndio umeharibu kimtindo?!
Be extremely careful with this matter, the evidence presented to you about the matter must be anything but hear-say. You must make an informed decision not because the white-guy saw them. Obtain physical evidence about these 2 individuals conduct. If you have to obtain their email communications pls do, but do not make your decision solely based on what the white-guy said.
Anything involving a woman, MUST be handled with extreme care.What about she changed the story that the Two Men wanted to rape her in the office. What about she claim the white guy wanted her for an affair and just said that for revenge.This is the time the Organization's legal counsel steps in and not Jamii Forum.If you do not have a company's lawyer, pls ask the organization to pay for you to consult one before you proceed.
Well, Bongo hakuna sheria anyway I guess you can whatever you want bro..
wazo zurKaka mjibuni mumewe kuwa akamuulize mkewe kwa sababu ni swala la kiofisi zaidi....usimdanganye kwa kumtetea mwanamke...mwache akapambane mpaka ajue sababu mwenyewe huko sio wewe uwaachanishe