Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
ni mambo ya kiofisi hayamuhusu huyo mume wala ofisi hailazimiki kumjibu barua yake. sana unaweza kumwambie ni utovu wa nidhamu details amuulize mkewe.
By 'fuata utaratibu wa ofisi', i basically meant ya ofisini yabaki ofisini. Hii issue iko sensitive balaa, sio tu kwa ndoa ya huyo Mama ila hata kwa ofisi, ni aibu kubwa na ofisi yoyote makini wangepambana ibaki confidential. Now, Chief hapa kamwaga karibu details zote za muhimu
1. Kataja race ya Boss na uraia wake.
2. Kaelezea tukio zima.
3. Kanukuu mpaka vifungu vya barua ya Mume wa huyo Mama.
Kama huyo Mume, au watuhumiwa, au hata wafanyakazi wengine waliokuwa hawaijui hii issue kiundani, na hata watu wa karibu wa familia husika wamo humu na wameisoma, wanaweza kuunganisha hizo dots na kupata mchezo mzima. Halafu Chief kamaliza kwa kuomba samahani kwa wahusika kama wapo humu na wataiona hii story, are you serious man??
Sijui bana, ila kwangu this is just another story, he had me mwanzo.