Tumwambie mumewe ukweli au?

Tumwambie mumewe ukweli au?

Mume ana haki ya kujuwa ukweli. Kama mwajiri ataamuwa kumweleza wala haitakuwa na shida kwani kanuni zinamlinda.hapa ni mwajiri kutumia busara kuona kwamba jambo hili akieleza litaweza kuwa na madhara gani kwa familia ya mtumishi aliyesababisha makosa.

Hebu niambie huyo mume hiyo haki anaipataje? Hiyo haki inatoka wapi kwa mawazo yako? Hebu nielimishe kidogo.

Tiba
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaka mjibuni mumewe kuwa akamuulize mkewe kwa sababu ni swala la kiofisi zaidi....usimdanganye kwa kumtetea mwanamke...mwache akapambane mpaka ajue sababu mwenyewe huko sio wewe uwaachanishe
 
Kuna taratibu za kiofisi lazima zifuatwe pia kuna ubinadamu nao una chukua nafasi yake,Huyo Mwanamke alijua anachokifanya hakitakuwa na siri na anajua fika ni mke wa mtu alichokuja kukipigia makofi muendelezo wa maovu yake


Upande wa mume nao ni ujinga kazi aombe mkewe kufukuzwa afukuzwe mkewe yeye mbio hadi ofisini kuulizia kwa nini kafukuzwa kazi hali anajua ana presha ina maana kajikamilisha kwa atachokisikia Mjasiri wa ajabu sana,,,

Ushauri,,Mwambie kafukuzwa kazi kwa utvu wa adabu na kuikosea heshima ofisi (kwwishney)Akirudi tena muulize anakifua akijibu ndio wewe mwambie jinsi mkewe alivyokutwa akiliwa 071....
 
The best solution ni kumuomba huyo dada amuonyeshe barua ya kusimamishwa kazi mumewe, endapo hamkuliweka wazi kosa lake, watawageuzia kibao na hamtakua na ushahidi wowote kwamba walifumaniwa, sidhani kama mlijaribu kuwapiga picha au kuhitaji ukiri wao wa kosa kimaandishi kabla ya kuwasimamisha

In short ni kwamba huyo bibi minyege anaweza kupindua kesi na ikawasumbua sana, the best way is to tell the husband ukweli tu!! then atakosa options za kuwageuzia kibao
 
Kanuni za utumishi (standing order)zinatambua haki za mume,mke na mtoto kwahiyo mwenza yeyote ana haki ya kwenda kushtaki kwa mwajiri kwa issue yeyote inayoathiri familia kwa namna moja ama nyingine.kwa upande wa suala la huyu mzee na mkewe ni haki kabisa kwa mwajiri kumweleza ukweli mwanaume tatizo lililopelekea mkewe kuachishwa kazi.lakini sisi kama binadamu sometime unatakiwa kutumia busara na kuona side impact endapo utaeleza ukweli wa jambo hilo.

Mkuu unless kuna kitu sijakielewa hapa au wengi tunaochangia hatujaelewa. Huyo mama aliposimamishwa kazi kutokana na kitendo alichokifanya alipewa barua ya kiofisi. Kwa hiyo huyo HR alipashwa amwambie mume kwamba mke aliisha pewa barua na hiyo inatosha. Hii ni tofauti kabisa na mtu ambaye anatelekeza familia na mke au mume anakwenda ofisini kulalamika. These are two different cases ambazo wala hazina ulinganisho.

Huyo mume kwa nini asipate maelezo kutoka kwa mke wake? Kwani mke wake ni bubu kwamba hawezi kujieleza?

Tiba
 
Kumbe ndo sababu hiyo ya kumsimamishA mke wangu bora nimejuAAA atanitambuaa leoo😛😛😛
 
Bro usilete siasa kazn hao wazinz walikuwa wanajua huyo ni ofisi, bro funguka kwa mzee maana hata ukificha mzee atajua tu mbele ya safar ataona ofisi haipo kikaz funguka bro
 
Bro, mumewe kapeleka malalamiko akihitaji malalamiko kwa maandishi, na itabidi wamjibu kwa maandishi pia.

Now, wakidanganya na Jamaa akaamua kufuatilia kwenye vyombo husika, ni issue nyingine kubwa sana. Besides, i'm sure huyo bi Mkubwa atakuwa kajaribu sana kumueleza mzee kilichotokea but he didn't buy it, ndio maana kawatega kwa maandishi tena.

Kweli Mkuu, mzee anaweza kuishtaki ofis kwa kumtimua mkewe bila sababu za masing kwa mawazo yake maana hajajua, afu mcanada anasubir kuona utendaji wake afunguke tu
 
Be extremely careful with this matter, the evidence presented to you about the matter must be anything but hear-say. You must make an informed decision not because the white-guy saw them. Obtain physical evidence about these 2 individuals conduct. If you have to obtain their email communications pls do, but do not make your decision solely based on what the white-guy said.

Anything involving a woman, MUST be handled with extreme care.What about she changed the story that the Two Men wanted to rape her in the office. What about she claim the white guy wanted her for an affair and just said that for revenge.This is the time the Organization's legal counsel steps in and not Jamii Forum.If you do not have a company's lawyer, pls ask the organization to pay for you to consult one before you proceed.
Well, Bongo hakuna sheria anyway I guess you can whatever you want bro..

Hahahaha mkuu jinsi ulivyomaliza umenichekesha sana
 
usipomwambia mmewe jiandae kupelekwa mahakaman na kampun yenu, na mtawalipa hao watu, nooo ushahidi...watawaruka hadi mshangae...
ukimwambia mmewe utakuwa umepunguza ukali wa futyre disturbances zitabaki kwenye familia yao huko...
by the way mungu alichoka dhambi zao alitaka waumbuke, ww unazuia la mungu??? atajua tu hata kwa njia zingine huyo mmewe.....
speak it out utue mzigo, ya nn ubebe mizigo isiokuhusu
 
Bora kumfcha tafadhali uc mwambie mumewe coz labla aliteleza tu CKU hyo na ukimwambia mumewe utakuwa umeharib zaid anaweza kuachishwa kaz kabisa na ukaachika so we jitahd kumfchia sili hyo
 
Pasua tu!/wapenda upuuzi huu watasema ficha/ tusiopenda uchafu twasema / give a reality!
 
Mumewe ana haki ya kujua kila kitu 100%
likija kujitokeza tatizo lingine kubwa zaidi linaloendana na hiyo kesi kwa sasa na huku unamficha mumewe utaubeba huo msalaba
 
Mwambie ukweli.. tabia za kihuni lazma zikomeshwe
Hivi watu hawataacha uzinzi mpaka waione adhabu gani kutoka kwa Mola wao?
Uzinz umekuwa fashion kwa sababu ya kubebana na kutunziana siri. Hiyo n sawa na wewe umezini sababu ya kuwezesha kimazingira people to get away with their sins!!
Nakemea tabia zote zinazofanana na hizi!
Dont wait until u meet ur creator to realise that you are doing wrong! !!
 
Nakushauri umjibu kwa kuzungatia sheria za kazi na standing order ya hapo kazini kwenu. Lakini nina uhakika kabisa mfanyakazi akisimamishwa kazi hupewa barua yenye maelezo yakunifu kumwelezea sababu ya kusimamishwa kazi. So mshauri mume amwambie mkewe amoe hiyo barua asime ajue tatizo. Otherwise km ameleta barua kiofisi ajibiwr na aelezwe kuwa ofisi cannot disclose waorkers staff unless to the workers themselves.
 
Pole sana ndugu Caxton. In the first place, an employment is a contract as any other contract. In the circumstances I would advise that only parties to the contract, that is the wife employee and the company have the right to question and or make any inquiry on matters arising from the contract.

The husband thus has no right and is not entitled to question, or make any inquiry on matters arising out of the contract in which he is not a party. I thus advise that you respond to him that he has no right to inquire on the affairs and policy issues of the company.

Regarding the wife, well. If the office policies are clear on the matters. Do the needful. You may conduct disciplinary hearing according to the law and fairly terminate the contract.
 
Back
Top Bottom