othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,719
- 12,250
Naona lisu hapo kaamua kula saani moja na Mzee babaMembe membe membeeeeeView attachment 1608161
Naona lisu hapo kaamua kula saani moja na Mzee babaMembe membe membeeeeeView attachment 1608161
Upinzani Kuna wagombea wawili tu wanao inyima CCM usingizi.
No hatred brother, relax!!It takes only three muscles to smile and 72 to frown...so why frown!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake wanakaribia kumaliza Membe bado anajaza upepo ??Membe membe membeeeeeView attachment 1608161
Hivi tuko dakika ya ngapi!?Ushindi wake alisema ni wa dakika ya 89
Mshana jr. Hapo ulipo nikikuambia unitajie wagombea Saba fasta lazima Rungwe umtaje. Kuna wengine I know hata Maghufuli hawajui. Lkn. Rungwe anamjua na huwa anamtaja.Rungweee? Neh..!
Membe ni CCM damu damu atamuungaje Lissu mkono
Huyo kweli awe kiporo sawa tu na vile viporo vyako Mshana Jr vilivyochacha.
Membe na ccm lengo lao moja
Ilikuwa ni kipindi hiki cha kampeni tuu...huoni sijapost tena...nimemaliza[emoji30][emoji23][emoji848][emoji2960]Mshana ndg yangu siku izi umezama kwenye siasa hata matopic yetu ye ya kutunyima usingizi umeminyia chini daaah!
Kweli uchawi una nguvu, washakuloga kaka [emoji3]
Mkuu sasa unataka alipwe na nani pale lumumba asipochangia hiv !?!-😂😂😂Sometimes kama hujaelewa kilichoandikwa pita kimya..sio kila post lazima uchangie