bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,938
- 25,040
1.LisuMembe ayawashangaza Chadema, uyo atakuwa mshindi wa pili
2.Membe
3....
1.LisuMembe ayawashangaza Chadema, uyo atakuwa mshindi wa pili
baraza la CDM au CCM? CCM wampe kweli uwaziri? CDM wampe kweli uwaziri, kwa kazi gani?wenye baraza jipya la mawaziri
Pengine ujasusi wake ndio anaudhihirisha kwa kuwasambaratisha upinzani, miaka mitano ijayo akawa mgonjwa wa ccm. Wana mikakati hawa.Afisa kipenyo Membe ujasusi wake umefeli.
Duh, huyo Baba anayeongoza mbio mbona kichwa kipo hivyo?.Membe membe membeeeeeView attachment 1608161
Mshana Jr , kitu kilicho wazi ni kuwa CDM inashinda, sasa je Kaijage atamtangaza? Lisu aandae mapema what to do in that situation. Kuingia barabaran watanzania sidhani, tu waoga!CDM kaka mkubwa...
There is something crucial n very serious to be done...
Imebidi nicheke tu, "something crucial and very serious"!There is something crucial n very serious to be done...
It takes only three muscles to smile and 72 to frown...so why frown!?Imebidi nicheke tu, "something crucial and very serious"!
Endelea na ugunduziNilichogundua ni kuwa hujuagi english ila unataka kujifanya unajua
Niliwahi kusema humu membe ni mkakati wa kumzuia seif asichukue ikulu ya Zanzibar[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Membe mfuasi wake atakuwa nondo sku ile alipokuwa anarudi kutoka Dubai nondo alienda kumpokea na kila akiongea nondo anatingisha kibichwa chake hata ktk jambo ambalo ni pumba kabisa
Niliwahi kusema humu membe ni mkakati wa kumzuia seif asichukue ikulu ya Zanzibar