Tumuombee sana Musiba asidhurike kwa namna yoyote ile

Kila la heri Musiba, umefichua mengi, na nchi inasonga mbele. Yapo mengi ila Wengi wanahofia maisha kwa kusema ukweli. Yangesemwa tangu mwalimu aachie ngazi tungekuwa juu sana kiuchumi. Tz yetu sio tena shamba la bibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom