Tumuombee sana Musiba asidhurike kwa namna yoyote ile

Kwamba tumwombee!!!?
Acha utani Mshana jr.. Tunachopaswa kufanya sisi 'wananchi wanyonge' ni kuziba masikio na kuendelea na shughuli zetu za kila siku.
 
Kwamba tumwombee!!!?
Acha utani Mshana jr.. Tunachopaswa kufanya sisi 'wananchi wanyonge' ni kuziba masikio na kuendelea na shughuli zetu za kila siku.
Nisome kwa tafakuri kuu utanipata vema
 
Kama ulikuwa humjui msiba ni nani utamjua sasa
Kama ulikuwa humfahamu tafadhali mfahamu sasa
Kama ulikuwa unambeza na kumdharau badili mtazamo wako huo sasa... Kwakuwa moja lililo dhahiri ni hili.... Musiba ana nguvu, ana kinga na ana backup.... Cheza naye mbali...
Kwa mara ya kwanza na kwa kasi ya supersonic jeshi letu la polisi limefanyia kazi taarifa za mitandaoni/ vyombo vya habari
Vyombo fulani ya habari, vinavyomilikiwa na bwana huyo... Vimeandika habari kwenye kurasa za mbele kwa maandishi makubwa meusi vikiwatuhumu watu kadhaa kutaka kumdhuru Musiba... Wahuhumiwa wote na sehemu wanatoka wametajwa moja kwa moja na wanajulikana kabisa
Chini ya masaa sita tangu magazeti hayo kuandika habari husika... Jeshi la polisi limeshachukua hatua ya kuanza kuwahoji watuhumiwa... Hii haijawahi kutokea...
La kushangaza ulimwengu ni hili.... JESHI LA POLISI LIMEANZA UCHUNGUZI KWA KUHOJI WATUMWA BILA YA MTUHUMU KUFUNGUA KESI

Tumuombee huyu bwana afya njema maana siku akijikwaa hata kidole tutapata tabu sana... Nasema tutapata tabu sana na si ajabu tukapewa kipigo cha mbwamwizi
Kukichwa kutapambazuka... Lakini kabla ya jua kuchomoza kiza huwa totoro...

Good morning Afrika...!!!
tumwombee!kama yeye anaombea wengine wapate ulemavu kwa vipigo ata kuuawa!
 
Afrika ni kitovu na ni makao makuu ya ujinga na upumbavu duniani na ulimwenguni kote.

Karibuni kwa mapovu.
 
Hii ni plan:
Musiba atakula shaba, then tuhuma zote atapewa Membe, kesi itasikilizwa hadi baada ya 2020.
Jiwe nyoko sana
Huyu jamaa hana maisha marefu sehemu anazochokoza sio kabisa,maana ashaanza kuingia ndani na kuwatuhumu watu wa TISS,huko anaenda PABAYA,hauwezi kusema kwamba MEMBE anapewa taarifa na watu wa TISS na wote anawajua na kawapa amri waache mara moja,sasa anatoa ORDER kama nani? Jamaa ataenda kufumuliwa ubongo na kitu chenye ncha kali au atakutwa mtaroni.
 
Back
Top Bottom