Tumuombee sana Musiba asidhurike kwa namna yoyote ile

Membe... Nape...Slaa... Zitto...Bashe...Lipumba...Maalim Seif... Lowasa... Rostam...Mbowe...Anko Magu... hao watu wanaitaji muda zaidi subra zaidi uvumilivu zaidi ila yote ya yote ni wanasiasa km wanasiasa wengine kwa hiyo basi ni Tumbo kwanza na Familia hlf ndio nyie au sisi Daraja lao la kufikia malengo yao...
 
Kwa jinsi Melo alivyoelezea, huyu mtu anatumwa, analindwa, hagusiki kirahisi.
Huyu Musiba anadekezwa
"Distract, Divert, Discharge"

Sijui tunachezeshwa hili sebene kufumbwa lipi au kuandaliwa kwa lipi?
Musiba ameona fursa na sasa anaitumia.
Bado nuts hazijakazwa vizuri.... Zikishakazwa zote ndio milango itafungwa kwa komeo kubwa halafu ndio safari itaaza rasmi sasa.... Tena kwa mwndokasi usiozingatia TAHADHARI ya kikomo cha mwendo wala wenda kwa migulu
 
Daah hali inatisha sana, kweli tumuombee asipaliwe hata na mate!
Kama ulikuwa humjui msiba ni nani utamjua sasa
Kama ulikuwa humfahamu tafadhali mfahamu sasa
Kama ulikuwa unambeza na kumdharau badili mtazamo wako huo sasa... Kwakuwa moja lililo dhahiri ni hili.... Musiba ana nguvu, ana kinga na ana backup.... Cheza naye mbali...
Kwa mara ya kwanza na kwa kasi ya supersonic jeshi letu la polisi limefanyia kazi taarifa za mitandaoni/ vyombo vya habari
Vyombo fulani ya habari, vinavyomilikiwa na bwana huyo... Vimeandika habari kwenye kurasa za mbele kwa maandishi makubwa meusi vikiwatuhumu watu kadhaa kutaka kumdhuru Musiba... Wahuhumiwa wote na sehemu wanatoka wametajwa moja kwa moja na wanajulikana kabisa
Chini ya masaa sita tangu magazeti hayo kuandika habari husika... Jeshi la polisi limeshachukua hatua ya kuanza kuwahoji watuhumiwa... Hii haijawahi kutokea...
La kushangaza ulimwengu ni hili.... JESHI LA POLISI LIMEANZA UCHUNGUZI KWA KUHOJI WATUMWA BILA YA MTUHUMU KUFUNGUA KESI

Tumuombee huyu bwana afya njema maana siku akijikwaa hata kidole tutapata tabu sana... Nasema tutapata tabu sana na si ajabu tukapewa kipigo cha mbwamwizi
Kukichwa kutapambazuka... Lakini kabla ya jua kuchomoza kiza huwa totoro...

Good morning Afrika...!!!
 
Huyo anapata nguvu toka kwa mamlaka iliyo juu, na si unajua mkuu anapenda watukama hawa ili awapandeshe vyeo? mfano Mnyeti, Jerry moro, Bashite,LENGAI SABAYA, hAPI NA WENGINE?

hIYO NI MBINU ILIYO PANGWA NA POLISSM HAWANA LA KUFANYA BALI KUFYATA MKIA NA KUFANYA WALIYO AGIZWA
 
woga sio kinga ya uongo kuwa ukweli!
.
Screenshot_20190709-063656.jpeg
 
Ni mauaji tuuuu, kutekana, kutishana, kusutana tuuuuu, Maguuuuuuu!! Rudi mjini kunachafuka huku!!!
 
Back
Top Bottom