Waooh...!!!! ulikuwa wapi... wazee ndo habari ya mujini, sisi tunaitwa vijana wenye miaka mingi....
Copy: Mtambuzi (welcome back), Asprin, Bishanga, na wazee wengine.......
John 11:25-26 Jesus said to her, I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live, 26 and everyone who lives and believes in me shall never die. Do you believe this?
Mabibi na Mabwana napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa sala zetu ambazo zimejibiwa na leo hii Mimi Mtambuzi Simba Mzee mchezewa Sharubu nmepona kabisa na nimerejea rasmi mtandaoni kusongesha kama kawaida.
Kwa kweli nilikamatika maana nilimuona ZIRAILI kwa macho yangu haya mawili nikajua kwishnehi, hapa siwezi kuchomoka lakini kumbe ile ahadi ilikuwa bado kutimia.
nawashukuru sana.