Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

Mbon shafoo asprooo! Hv hujui amu yupo busy anatafuta ugoro akavute na Madame B

Paloma, amu nishampa ugoro na chumvi na muda huu anaelekea bafuni kuvifanyia kazi viungo vyake vinono, kwani leo ana mtoko na KakaKiiza.
Mwambie Asprin imekula kwake.

BTW Mzee-Kijana Mtambuzi mara ya mwisho nimeongea nae aliporudi Ukweni kupeleka msiba.
Mpe pole sana, nitamuona badae.

Wenu mtiifu wa CC,
Madame B
 
Last edited by a moderator:
Jamani leo Friday nammiss Mtambuzi... Pona haraka ndugu yetu.
 
Mabibi na Mabwana napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa sala zetu ambazo zimejibiwa na leo hii Mimi Mtambuzi Simba Mzee mchezewa Sharubu nmepona kabisa na nimerejea rasmi mtandaoni kusongesha kama kawaida.
Kwa kweli nilikamatika maana nilimuona ZIRAILI kwa macho yangu haya mawili nikajua kwishnehi, hapa siwezi kuchomoka lakini kumbe ile ahadi ilikuwa bado kutimia.
nawashukuru sana.

Copy to: Paloma, Ruttashobolwa, @FP, snowhite, Mzee wa Rula, cacico, Asnam, Kipipi, Mamndenyi, MMAHE, KakaJambazi, KakaKiiza, Kipaji Halisi, sosoliso, Erickb52, LiverpoolFC, Zion Daughter, Bishanga, Excellent, King'asti, watu8, Mentor, Jeska, Elizabeth Dominic, charminglady, ladyfurahia, Mrembo by Nature, Swts, mwaJ, amu, KOKUTONA, Mwali, Madame B, Kaizer, YNNAH


 


waaaaoooooo........karibu tena babu!!!
 
Karibu, we were worried bana. asavali umepona!
 
God is great. Mushukuru kwa uponyaji......Karibu tena.
 

karibu tena, nasikitika kutoa taarifa za kushtua eti kaka Mentor kapokea mahari kutoka kwa Baba V kibabu cha miaka 60 bila ridhaa yangu,ujue siwaelewi ww na mwanao ntawafungulia mashtaka, [MENTION]Rutashobolwa[/MENTION] SOSPA inasemaje kuhusu ndoa zisizo na consent ya mwolewaji halafu under18
 
Last edited by a moderator:

Waooh...!!!! ulikuwa wapi... wazee ndo habari ya mujini, sisi tunaitwa vijana wenye miaka mingi....
Copy: Mtambuzi (welcome back), Asprin, Bishanga, na wazee wengine.....
 
Last edited by a moderator:

Waooh...!!!! ulikuwa wapi... wazee ndo habari ya mujini, sisi tunaitwa vijana wenye miaka mingi....
Copy: Mtambuzi (welcome back), Asprin, Bishanga, na wazee wengine.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…