Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
mwananchi w kawaida etii, wakati humu hakuna asiye mjua kuwa ni msaliti vuvuzelaJamaa we bado ni katibu wa ACT Wazalendo au ni PS wa Zitto?
mwananchi w kawaida etii, wakati humu hakuna asiye mjua kuwa ni msaliti vuvuzelaJamaa we bado ni katibu wa ACT Wazalendo au ni PS wa Zitto?
Unataka tukutenge na hoja zako? Unadhani ni rahisi kumtenga tapeli na utapeli wake? Kimsingi, mdogo wangu Mchange, huna credibility ya kutoa hoja za kuikosoa CHADEMA. Kama ni kuwa na fisadi Lowassa, nawe ulimpigia kampeni Lowassa hasa maeneo ya Mailimoja, Kwa Mathias, Picha ya Ndege na hata nyumbani kwetu Visiga. Ulikuwa ukisema Ubunge upewe wewe, Urais apewe Lowassa. Si usaliti huo kwa chama chako?
Mdogo wangu Mchange, kama unataka kurudi kwenye siasa, jifunze uvumilivu wa Mnyika ambaye amevumilia ndani ya CHADEMA changamoto zote hadi sasa anaaminiwa. Usijiunge na vijana wanaokuwa vyamani halafu wanataka kuota mapembe haraka na kusahau kuwa kila chama cha siasa kina wenyewe. Vyama ni kama kampuni, zina waanzilishi wake. Unapojiunga navyo, uende taratibu kwakuwa wanachama wa kawaida wa mipaka yao.
Mchange, mdogo wangu, nakuasa kuacha siasa za tumbo zilizojaa utapeli, ulaghai na propaganda. Usisahau kuwa tupo tunaokujua kwelikweli kuanzia ulipokuwa unafanya biashara ndogondogo pale stendi ya mabasi Mailimoja Kibaha hadi kuibuka kugombea mara mbili Ubunge wa Kibaha Mjini. Kama mwenyeji wa Kibaha, nafahamu kuwa ni utapeli tu wa kisiasa ndio uliokupa vyote ulivyonavyo. Ni mweupe sana kichwani. Tetere vipi? Nenda taratibu bwanamdogo.
Alieleta thread na alieandika wote ni wahanga wa siasa za tumbo. Mchange alikuwa anajikomba kwa Zitto na huyu ngombe aliekatwa mkia kwa sasa anajikomba kwa Magu.Na ilaumu sana Chadema kubeba watu wa aina hii kipindi fulani nadhani kwa sasa wanatakiwa kujielewa na kufanya vetting nzuri kabla ya kusajili wanachama wanaotoka vyama vinginne.Ni kuishiwa na kufirisika kwa hoja kurudia mada iliyo humu JF. Kaka Fred Mpendazoe,wewe nawe sasa umekuwa kituko. Ni kama Mchange ambaye kila uchao huwa ni wa kulambalamba watu kwa uchu wa ngawira na madaraka
Iko wazi,kaka Mpendazoe umefulia vya kutosha. CHADEMA huwa inajidhalilisha kupokea na kuwaamini watu kama wewe na Mchange. Kazi yenu ni uanasiasa tumbo tu!
Ni kuishiwa na kufirisika kwa hoja kurudia mada iliyo humu JF. Kaka Fred Mpendazoe,wewe nawe sasa umekuwa kituko. Ni kama Mchange ambaye kila uchao huwa ni wa kulambalamba watu kwa uchu wa ngawira na madaraka
Iko wazi,kaka Mpendazoe umefulia vya kutosha. CHADEMA huwa inajidhalilisha kupokea na kuwaamini watu kama wewe na Mchange. Kazi yenu ni uanasiasa tumbo tu!
Ni sifa mbaya sana na wanaokamatwa hovyo hovyo na serikali za kidikteta uchwara na kikaburu km vile Lissu na Mandela siyo majemedari.Kwa akili zako unafikiri kulala kituo cha polisi ni sifa nzuri?
Jemedari huwa hakamatwi kamatwi hovyo.
Kweli kabisa Mpendazoe sasa amefikia pahali pabaya kimaisha kiasi haoni tena aibuNi kuishiwa na kufirisika kwa hoja kurudia mada iliyo humu JF. Kaka Fred Mpendazoe,wewe nawe sasa umekuwa kituko. Ni kama Mchange ambaye kila uchao huwa ni wa kulambalamba watu kwa uchu wa ngawira na madaraka
Iko wazi,kaka Mpendazoe umefulia vya kutosha. CHADEMA huwa inajidhalilisha kupokea na kuwaamini watu kama wewe na Mchange. Kazi yenu ni uanasiasa tumbo tu!
Upo sahihi sana mkuu hasa wale wanaokuwa wamewachwa kwenye teuzi za ndani ya chamaAlieleta thread na alieandika wote ni wahanga wa siasa za tumbo. Mchange alikuwa anajikomba kwa Zitto na huyu ngombe aliekatwa mkia kwa sasa anajikomba kwa Magu.Na ilaumu sana Chadema kubeba watu wa aina hii kipindi fulani nadhani kwa sasa wanatakiwa kujielewa na kufanya vetting nzuri kabla ya kusajili wanachama wanaotoka vyama vinginne.
Nani kukudanganya wewe?unataka kutwambia hata Jk Nyerere naye unamuingiza kwenye hawa wapuuzi?Hakuna asiyekuwa mwanasiasa tumbo.
Tofauti ya wanasiasa ni rangi ya bendera ya vyama vyao tu mengine wanafanana.
Cc:Fredy mpendazoeFred hutapata cheo kwa kuiandama Chadema, dhambi yako ya usaliti kwa CCM kamwe haisameheki , utaandika sana usiku kucha lakini kamwe hutateuliwa kwa kigezo cha kuisakama Chadema kwani hata ulivyotoka CCM uliisakama hivyo hivyo kwa machapisho yako ya kihuni, HUTEULIKI.
Ccm haina wa kushindana naye kwa unafiki dunianiNi ukweli uliowazi mleta mada ni mchumia tumbo, lakini pia hoja zake nyingi zina mashiko......kwa mfano linapokuja suala la unafki basi chadema watachuana na ccm ktk kinyang'anyiro cha kupata alama za juu kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani kwa sasa cdm ndio kipau mbele kwa serikali badala ya kupeleka maendeleo kwa wananchiFulediiiii! Kama CDM inakuchefua sana basi unatakiwa uijenge CCM uliporudi. Sijaona andiko lako la kueleza huko ulipo mnaendelezaje chama chenu makinikia.
Hivi huwa mkitoka CDM huwa hamna cha kufanya? Weye na wenzio, hasa yule wa kiti maalum kule Songwe, kutwa CDM inawawasha machoni. What a shame!!
Ndio wanasiasa hao ndugu yanguNi ukweli uliowazi mleta mada ni mchumia tumbo, lakini pia hoja zake nyingi zina mashiko......kwa mfano linapokuja suala la unafki basi chadema watachuana na ccm ktk kinyang'anyiro cha kupata alama za juu kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app