Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

Hivi kwanini threads zote humu JF huwa mtu akiwakumbusha CDM jinsi walivyompokea Lowassa na jinsi viongozi wao wakuu walivyomponda kuwa FISADI kwa miaka kibao,wanakuwa na hasira na kumtolea matusi yote?,hakuna chama ambacho huwa hakikubali kukosea mahali fulani kama CDM,hata mara 1,hakuna hata mmoja aliyepangua hoja za mleta mada,wote mmeishia kumshambulia maisha yake.Wengine ambao hatumjui tuliosoma hii thread tulitegemea majibu fulani ya kupangua hoja,tumeishia kupata historia ya maisha ya mleta mada.Kwa style hii mamvi alikuwa sahihi kusema CCM isipong'oka 2015 itatawala miaka mingine 50,maana wapinzani hawapo tayari kurekebisha walipoanguka.Wanatafuta mchawi pembeni,huku mchawi ni wao wenyewe.

Ww mwenyewe huna hoja uliyopangua wala kuunga mkono bali umeishia kuongea kama wengine wenye mlengo kama wako. Siku hizi huwa mnasema kama makasuku kwamba wanachama wa cdm wanatukana. Kwanza huku jukwaani kuna msemaji rasmi wa cdm ambaye ni Tumaini Makene. Je kuna mahali makene amewahi kutukana hapa jukwaani? Wengine wote unaowaona ni wanachama na washabiki wa vyama tofauti na wasio na vyama wakitoa michangi yao. Hili ni jukwaa huru hivyo kila mtu anachangia anavyotaka maana hapa sio bungeni au sio mijadala rasmi na anayetukana kwa mujibu wa sheria za jf anakula ban. Sasa iweje ww uone matusi tu lakini wachangiaji unaohisi ni wa cdm hawapati ban? Ni hivi, mmezoea kuishi kwenye nidhamu za woga na unafiki, hivyo unapokutana na majibu usiyopenda yakichagizwa na mihemko kidogo ndio mnakimbilia kusema ni matusi. Tusi lolote unalodhani ni tusi kuna kitufe cha report ili mtukanaji afungiwe, kinyume na hapo ni ukweli unaouma ambao namna pekee ya kujificha ni kuiita ni matusi.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu,thread nyingine tunapita ku gain knowledge,ningepata majibu angalau nusu ya maswali aliyouliza mleta mada ningepita kimya kimya ila Kuna elimu ingeongezeka kichwani,baada ya kusoma hadi post no 47,bila jibu au hoja inayohusiana na mada ndo nikaomba angalau mmoja ajibu hoja tuone uongo au ukweli wa mleta mada.Thread kama hii ikiletwaga na mtu asiyejulikana hata ID yake au jina lake halisi,ndo tunaonaga majibu ya ... Kojoa ulale,haya kachukue buku 7 zako,,teuzi zimeshaisha acha kujipendekeza,n.k,. Je hayo ndo majibu ya GREAT THINKER?,Je mleta mada kaongea uongo au ukweli?,nijibu hayo tu mkuu,kunishambulia bila majibu bado hujanisaidia.
 
Kwa kipindi cha siku kadhaa sasa tumekuwa tukishuhudia maneno makali kutoka kwa wanachama na viongozi wa Chama cha CHADEMA kwenda kwa kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO ndugu Zitto Kabwe.

Njia mbalimbali zimetumika kufikisha mashambulizi hayo huku mitandao ya kijamii ikishika hatamu sambamba na makala za magazetini wakimuita Zitto kabwe ni Msaliti, wengine Kinyonga na wengine Mamluki huku Leo nikisoma makala nyingine ikimuita Zitto Kabwe ni Uyoga kwamba uyoga unaweza kutumiwa kama chakula na kadharika sumu.

Licha ya wanachama na viongozi hawa kujisahau pengine kuwa Zitto sio mwanachama wa chama chao na kwamba yeye ni mwanachama wa chama kingine kinachojitegemea chenye Sera, katiba na miongozo yake, lakini ni Dhahiri Viongozi na wanachama wa CHADEMA hawawezi kumsahau Zitto Kabwe.

Kama kuna jambo CHADEMA na viongozi wake nahisi linawauma na kuwanyima usingizi, basi kuendelea kuwepo kwa mwanasiasa huyu waliyemfukuza chama chao kwa matusi na kejeli nyingi mwaka 2015 mwanzoni.

Naam, ukisoma makala na maandiko yanayomshambulia Zitto kisa tu kakosoa kauli ya mwanasheria wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu kuhusu kutaka nchi inyimwe misaada na ushirikiano wa kimataifa, hauna utakachojifunza dhidi ya Chuki dhahiri za wanachadema kwa Zitto.

Kwa Lugha nyepesi tu unaweza ukasema CHADEMA na wafuasi wake wanatamani sana Madini yanayotemwa na Zitto Kabwe wa ACT WAZALENDO yangekuwa yanatemwa Hata kwa asilimia 20 na mmoja kati ya wabunge wao, ndio maana Hata Zitto afanye jema lipi, CHADEMA wao wataacha kulijadili alilolifanya watamvaa Zitto, huu ni udhaifu wa kiwango kikubwa sana.

CHADEMA wameumia sana Zitto kumsifia Rais Dkt Magufuli pale Jukwaani Kigoma, imewauma kwa sababu Hawakujua kuwa Zitto hakumsifia tu Rais Magufuli, Bali pia Zitto amempongeza kwa dhati kiongozi wa nchi anayepeleka mbele maendeleo ya wana kigoma.

Wamekasirika kwanini Zitto aliwahi kuukosoa utawala wa Rais Magufuli hapo nyuma halafu juzi eti amempongeza na kuona kwamba Zitto ni kigeugeu, walitamani Zitto aendelee kukosoa tu na kupinga hata maeneo dhahiri, ama wamesahau kwamba chama alichopo Zitto kwa sasa sio kazi yake kupinga kila kitu, na ndio maana wameamua kujitanabaisha na Slogan ya Taifa kwanza wakimaanisha kuwa wao maslahi ya nchi kwao ni kitu cha msingi kuliko chochote.

Wamesahau kwamba moja kati ya vichagizo vya Zitto na chama chake ni Kuupinga ujinga popote ulipo bila kujali chama cha anayefanya huo ujinga?. Ni vigumu sana kumuelewa Zitto kama haujui mpaka unaingia kwenye chama cha siasa unataka nini zaidi ya kupinga.

TUWAAMINI CHADEMA?...

Kwa msingi wa hoja zao kuwa Zitto ni kigeugeu na kwamba haaminiki Leo anaweza akapinga jambo na kesho akageuka, nadhani CHADEMA ndio wanaongoza kwa kuwa na sifa hiyo.

Kama hiyo ndio Hoja, basi Kwa sasa, CHADEMA ndio chama ambacho hakipaswi na hakiwezi kuaminiwa Mara 1000 zaidi kulinganisha na Zitto alivyo.

Nitatoa mifano Michache.

Mwaka 2013/2014, Freeman Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani na mbunge wa Hai, aliwaongoza wabunge wenzake kupinga bajeti ya wizara ya Ujenzi iliyokuwa ikiongozwa na Dkt. Magufuli, mbowe aliipinga bajeti hiyo na kupiga kura ya hapana pale Bungeni, na kusema hawezi kuunga mkono serikali ya CCM.

Mungu si Athumani, mwaka huo huo Dkt Magufuli akaenda jimboni kwa Mbowe Hai, kisha au kabla alikwenda jimboni Rombo kwa Joseph Selasini, huwezi amini aisee,

Sifa alizozipolomosha Mbowe kwa Magufuli na Kikwete (aliyekuwa Rais) hazifikii hata Robo ya zile alizozitoa Zitto Kigoma, ndio maana ilimbidi mpaka Magufuli achukue link ya YouTube na kwenda nayo Bungeni katika bajeti iliyofata na kuwaambia wabunge na watanzani jinsi serikali ya CCM inavyochapa kazi kiasi cha kusifiwa hadharani na Freeman Mbowe. - NANI Tumuamini sasa, CHADEMA au Zitto?.

Naongeza, Kabla ya tarehe 15-09-2007, msamiati wa neno FISADI haukuwa maarufu hapa nchini Tanzania.

Unamjua aliyeuibua sawa sawa?.

Ni CHADEMA kupitia Tundu Lissu,

Ndio, Tundu Lissu akiwa Mwanachadema na mwanasheria machachali, tarehe 15-00-2007 pale viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es salaam, akishirikiana na Mbowe, na viongozi wengine wa upinzani akiwemo Dkt. Slaa, Maalim Seif , Mbatia na Wengine. Lissu alisoma Orodha ya Watanzania kumi na moja wanaolifilisi Taifa hili la Tanzania, tena akasema watu hawa hawanastaha ya kuitwa jina lingine zaidi ya MAFISADI, Lissu akasoma Orodha ya Mafisadi akisindikizwa na vifungu kibao vya Sheria.

Katika Timu ya watu 11 waliotajwa na Lissu kama mafisadi wanaoliumiza Taifa mtu NAMBA 9 aliyetajwa na Lissu na CHADEMA ni *EDWARD LOWASSA* Kwamba kwa mujibu wa Lissu na CHADEMA LOWASSA ni miongoni mwa Wafilisi 11 wa nchi hii, Leo LOWASSA yuko wapi, na Lissu yuko wapi na anasemaje?. - Tuwaamini CHADEMA ?.

Naongeza, Mwaka 2011/2012 kule Arumeru palikuwa na Uchaguzi wa Marudio, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, alisimama Jukwaani na Kuwashukuru wananchi kuwa walimzomea Mzee LOWASSA. Nitayarejea baadhi ya maneno yake

*"Jana mmemzomea LOWASSA, ni Heshima kubwa kwa Mungu Kumzomea Mwizi, LOWASSA ni FISADI*" Huyo ni God bless lema wa CHADEMA , Leo LOWASSA yuko wapi na Lema yuko wapi?, anasema nini?..- TUWAAMINI CHADEMA?.

Niongeze?... Msigwa alimtukana LOWASSA, akasema atakayemnadi na kumshabikia LOWASSA akapimwe akili yake, nani alimnadi LOWASSA 2015, ni Zitto au Msigwa?. - Tuwaamini CHADEMA ?

Mwaka 2010 katika kampeni za Uchaguzi mkuu Moja kati ya Sera za CHADEMA ilikuwa ni kurudisha viwanda vyote vilivyobinafsishwa na kugeuzwa maghala, CHADEMA wakasema watavirudidha kwa wananchi, Mbowe akasema lazima virudi, Leo mwaka 2017 Mbowe yule yule anasema serikali imekosea kutoa tamko la kuvirudisha viwanda vile vile walivuotaka kuvirudisha wao mwaka 2010. Tuwaamini CHADEMA?...

Mwaka 2010 mpaka 2013 mwanzoni, CUF waliitwa CCM B na CHADEMA, Nccr wakaitwa Washirika wa CCM, miezi michache mbele CCM B na washirika wa CCM wakaungana wakaitwa UKAWA. tuimini CHADEMA?

Mifano iko mingi mingi mingi sana.

USHAURI

nawashauri viongozi na wanachama wa CHADEMA waachane na Zitto, wajenge CHADEMA yao, wamuache Zitto na ugeu geu wake na chama chake, watu makini wanafahamu kwamba CHADEMA ni kikundi cha watu wasaka madaraka tu na sio chama cha siasa.

Chama makini chochote cha siasa hakivunji wala kukiuka misingi yake iliyojiwekea,

Chama makini cha siasa hakiwezi badili Gia angani, lakini kikundi cha wasaka madaraka kinaweza Fanya lolote lile ilimradi tu kipate madaraka.

Wamuache Magufuli afanye kazi ya kuleta maendeleo aliyoahidi, maendeleo hayana chama, maendeleo hayana dini maendeleo hayana Kabila.

Kama Zitto alimpinga Magufuli Jana, sio kigezo cha kpongeza Leo kama amefanya vizuri na wala sio kizingizi cha kutokumkosoa kesho akifanya vibaya, hiyo ndio huitwa siasa ya masuala.

Ndio maana LOWASSA hamsimangi Lissu aliyemwita Fisadi namba Tisa hapa nchini,

Ndio maana LOWASSA hamsimangi Lema aliyekesha akimtukana katika mikutano ya kisiasa

Ndio maana LOWASSA hamsimangi msigwa, hamsimangi Mbowe aliyemkejeli kuwa ni dhaifu na baadae kumpokea wala hamsimangi yeyote, anafanya siasa zenye kukipigania anachokiamini atakipata ama anataraji kukipata.

Vijana, viongozi na wanachama wa CHADEMA kuhangaika na kina Zitto, Kitila mkumbo na Anna Mgwira ni kujidharirisha kwa kuonyesha kiwango kidogo cha uelewa wa masuala ya siasa.

Nawapongeza sana baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaojikita kila uchao kuhangaika kutafuta suluhu ya changamoto za wananchi wao kama MEYA Boniface Jacob, John Mnyika, David Silinde Mwita Waitara nakadharika.

Muhimu kujua ni kwamba Zama zimebadilika, siasa zimebadilika, siasa za Leo si sawa na siasa za miaka mitano iliyopita.

Siasa za Leo zinahitaji wanasiasa wanaoleta majawabu kwa wananchi wao kuliko kutukanana kila uchao. Mmeshatukanana imetosha sasa wapeni majawabu wananchi.

Ndimi,
Habibu Mchange
0762178678
Mwananchi wa kawaida.
Story ndeeefu lakini haina mantiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yapo mengi ila yapo randomly kama yeye alivyoleta hoja yake. Ungetaka ajibiwe kwa mtiririko kwanza yeye mwenyewe angeweja hoja yake kwenye mtiririko. Sio mada ni kuhusu Zitto kuonekana msaliti na mashabiki walioko huku jukwaani na kuzihusisha na cdm kama chama. Akitaka majibu rasmi ya chama akiandikie chama malalamiko yake apate majibu rasmi ya chama. Vinginevyo kwa hapa jukwaani atapata majibu tofauti tofauti kulingana na mtazamo wa kila mchangiaji na kifungu atakachoamua kujibu. Katika mazingira haya tegemea majibu sahihi, kejeli, historia ya mleta mada nk. Huo ndio uchangiaji kwenye mitandao ya kijamii na sio kwenye post hii tu.
 
Lots of nonsensical low iq staff, Lissu is the next President of Tz come 2020, so acha upuuzi wa kumlinganisha na zito tapeli ambalo hata siku moja hajawahi kulala kituo cha polisiccm ila inajifanya mpinzani, pathetic

Umemaliza ewe mtumwa mwema!
 
Halafu ww dogo una siasa fulani za kipuuzi kupita kiasi. Mimi ni mshabiki wa cdm, pamoja na Zitto kuhitilafiana na cdm sikuwahi kumtusi au kumkejeli kutokana na kuuheshimu mchango wake kwa cdm. Ila ilibidi niwe na shaka naye kidogo nilipokuona siku moja ukimtetea Zitto kwa nguvu zako zote ukiwa star tv huku ukiongea siasa za chuki za wazi ambazo sikuwahi kutarajia kuziona kwa kijana kama ww. Kwenye kipindi hicho ulikuwa na Mnyika studioni. Siku ile ulidhani unamtetea Zitto, lakini kama Zitto anahitaji utetezi wa vile basi hata yeye atakuwa ana shida. Na nguvu ile ulikuwa unapewa na Mwigulu kuhusu ugaidi wa Lwakatare ambao mpaka leo haujawahi kuthibitishwa zaidi ya kuingia kwenye siasa chafu na kishenzi ambazo hazijawahi kutokea nchi hii.

Leo hii nikikuangalia huku ukisema hata siasa umeachana nazo ndio nimejua ww ni mtu wa aina gani. Hata hii post uliyoileta hapa ni ya mtindo uleule wa tabia zako za siasa chafu na kujipendekeza. Nadhani wakati unatusi na kukashifu cdm ulidhani kuendesha chama mpaka kupata mafanikio ni jambo rahisi. Ulienda ACT ukiwa na mihemko na ukadhani ACT ingekuwa chama kikubwa sana kuliko cdm kwa kipindi kifupi, lakini kinyume na matamanio yako imekuwa ngumu. Sasa kwa sababu ww ni mtu unayependa mafanikio tu bila kuyahangaikia na aina yako ya siasa chafu umeona aibu huku dhamira ikikusuta ndio ukajifanya umeachana na siasa. Ukweli ni kuwa hujaachana na siasa bali unataka mahali au chama utakachopata hela za bwerere, ukiangalia ni wapi unaweza kupata hizo hela ni ccm tu, na ccm ya sasa hawataki mtu kama ww. Aliyekuwa anashirikiana na ww huko ccm kwenye siasa chafu enzi za JK naye hana sauti enzi hizi za Magufuli.
Mkuu umemaliza kila kitu....... hii ndio somo perfect kwa wanasiasa wababaishaji kma mchange

Kula LIKE nyingine ya nguvu
 
Uzi mrefu nitarudi kuusoma baadae.

ila kuna watu wanajisahau kuwa enzi za JK walikuwa na wanamtukana majukwani halafu kesho anawaita kunywa kahawa ikulu na wanaenda then maisha yanaendelea.

Sifa kuu ya mwanasiasa ni unafiki.
 
Mchange, you have written the facts.
Big up!

Nakukumbusha na Sumaye alimuita El fisadi lakini sasa anamtukuza.

CDM inaongozwa na watu wa ajabu sana.

Mbowe anapinga magufuli kuwapokonya viwanda watu walioshindwa kuviendeleza na kuwapatia waliokuwa na uwezo wa kuviendeleza! You can't blv!!
Mbowe analaumu kwanini TRA wanaidai ACCACIA 425trl! eti ni pesa nyingi sana tungewadai chache.
TRA wamefanya calculation kulingana na muda ambao ACCACIA walikwepa hiyo kodi.
Sasa yeye alitaka tuwadai pesa ngapi!!?

Mimi nawataka CDM wasome alama za nyakati, vinginevyo wote tunaojiita wapinzani tutaonekana AKILI ZETU NI ZA PLASTIKI.

Back
Top Bottom