#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Nimemsikia akisema hizo habari za DNA na RNA nikakumbuka ile clip ya daktari mtanzania wa marekani alivyodadavua nikagundua mh askofu is trying too hard kujionesha kama yeye ana akili nyingi. Lakini tatizo mwisho anaonekana mbumbumbu kwa kuongea ujinga.
Huna facts jomba unabwabwaja tu..Nani aaiyejua kuongea haya..Rudi tena ukakaririshwe
 
Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..


FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Hawa Ni zero brain don't be shocked anamkosoa mtu kwamaneno ya kanga
 
Huyu askofu ana akili kweli? Hajui kama 'wakomunist'na 'wajamaa' rafiki zetu vipenzi China na Urusi wana chanjo? Kama tatizo ni Ulaya kwa nini hajashauri tukazifate huko. Kama anakataa au tunakataa tukatae kwa sababu ya nyingine sio tu kwa sababu zinatoka Ulaya.

WHO iko chini ya influence ya China, ndio maana Trump alijitoa.

Twendeni kwa fact tuache mentality za kishamba, mbona boss wake wachina walikuja kumchanja kule kijijini
Hivi wewe unaakili TIMAMU kweli??lakini sishangai mpumbavu kujiona mwenye akili mbele ya mwerevu
 
Nafikiri wewe ndio mpuuzi wa kupuuzwa Gwajima kachambua kkitaalamu zaidi kuhusu chanjo hiyo na wewe umekuja na gazeti refu limejaa shutuma tu , pathetic
Hawa Ni zero brain wanatia hasira Sana jitu limeshiba huko linakosoa facts kwa maneno ya kanga
 
Hivi kweli bado tunashindwa kujiongeza tu? chanjo ni suala la muda tu wala sio la hiyari haya maneno tutajiridhisha ni siasa tu kujikosha kuwa hatumgeuki marehemu waziwazi lazima tulete njia ya kutoka kwa marehemu kwa heshima maana kuna watu bado jinamizi la marehemu linawawinda. wamenza taratibu mask( walizozikataa) mashekh wameanza tufuate kinga na hata social distance( walizikataa) chanjo inaongelewa siku hizi katika majukwaa( hawakuthubutu nyuma huko) wana twist taratibu na wanaelewa kabisa chanjo sio hiyari tena ni muda tu hakuna cha kamati wala nini maamuzi tayari yameshafanywa.
 
Sisi wenye akili timamu tumemwelewa sana Gwajima. Alichokisema ni kwamba, tuwe makini na hizo chanjo.
Kingine alichokisema ni kwamba, kuna wenye akili fupi ambao hudhani kila kinachotoka nje ni kizuri kwetu. Huo ni ujinga.
Sasa mimi nakuomba wala usitaje vizuri vya nje nataka utaje vibaya tu vya nje maana nikisema utaje vizuri utajaza page taja vibaya tu vya nje? halafu tutajiuliza kilifikaje hapa. Nakuomba taja kibaya tu cha nje.
 
Sasa mimi nakuomba wala usitaje vizuri vya nje nataka utaje vibaya tu vya nje maana nikisema utaje vizuri utajaza page taja vibaya tu vya nje? halafu tutajiuliza kilifikaje hapa. Nakuomba taja kibaya tu cha nje.
Vibaya vya nje ni KUMFUNGIA BASHITE ASIKANYAGE USA
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Sasa wewe unamsema mwenzako halafu wewe unatuongelea Taifa kama nani? chanjo ije anayetaka kuchoma achome asiyetaka amfuate Gwajima sawa tu hakuna wa kukulazimisha ila kila jambo lina gharama zake. Ila usiongelee kama unatuongelea sote hapana.
 
Hivi nchi hii na watafiti wetu wanaofanya uchunguzi kujiridhisha hivi kuna dawa yoyote katika pharmacy zetu nchi nzima imeshawahi kugunduliwa hapa nchini na kupitishwa kwa matumizi ya binadamu? nauliza serious sio kama dhihaki hapana nataka kujuwa tu.
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Umejibu mipasho siyo kwa hoja.
Hoja za Gwajima
1. Chanjo haijapata Kigali
2. Chanjo ipo majaribio na kwa dharura. Je, nchi/dunia nzima inakuwa majaribio?
3. Masharti ya chanjo ni kuwa itumike at your own risk. Mtengenezaji au msambazaji hawajibiki kwa madhara yoyote
4. Chanjo maana yake ni kufanya mwili utengeneze kinga. Itafanywa kwa kuingia kiasi cha vidudu vya ugonjwa. Hii ya corona haikupaswa kuitwa chanjo, haina sita ya chanjo.HII UNAINGIZIWA SOFTWARE KWENYE OPERATING SYSTEM YA MWILI (DNA &RNA).

Ndugu yangu ogopa sana kitu kinachokwenda kwenye jinetiki (Genetic). Maana inabadilisha hadi vizazi vijavyo.

Jibu hoja hizo siyo kuleta mipasho na bla bla
 
Hivi kweli bado tunashindwa kujiongeza tu? chanjo ni suala la muda tu wala sio la hiyari haya maneno tutajiridhisha ni siasa tu kujikosha kuwa hatumgeuki marehemu waziwazi lazima tulete njia ya kutoka kwa marehemu kwa heshima maana kuna watu bado jinamizi la marehemu linawawinda. wamenza taratibu mask( walizozikataa) mashekh wameanza tufuate kinga na hata social distance( walizikataa) chanjo inaongelewa siku hizi katika majukwaa( hawakuthubutu nyuma huko) wana twist taratibu na wanaelewa kabisa chanjo sio hiyari tena ni muda tu hakuna cha kamati wala nini maamuzi tayari yameshafanywa.
Nimefurahishwa sana na kauli ya rais wa Zanzibar jana kuwa mahujaji watapatiwa chanjo.

Hizo ndiyo akili za kiongozi wa watu maana anaonyesha anajali uhai wa wananchi wake.
 
Back
Top Bottom