Sijamsikia Askofu Gwajima akitoa msimamo wake kuhusu Mkataba wa DP World

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Binafsi sijamsikia Gwajima Askofu akitoa msimamo wake kuhusu Mkataba wa DP World kama alivyotoa msimamo wake kuhusu Chanjo ya corona.

Naomba kwa yule aliyewahi kumsikia akuje hapa anitaarifu.
 
Umeweza kama Mimi Mkuu. Nilitaka kuanzisha Uzi kama huu. Huyu Mzalendo aliyepinga Corona hazarani je huu mikataba fake hauoni.?

Ukimya wake unafikirisha Sana Tanzania tuna safari ndefu. Kama mtu kaonja utamu wa hela ya ubunge kaamua kukaa kimya...

Means Mtu yeyote anahongeka na kukaa kimya Nchi hii. Wazalendo ni wachache sana
 
kashafukizwa na udi wa Bunge ataongea nini.. dawa ya maskini mpiga mayowe ni pesa tuuu...
 
Umeweza kama Mimi Mkuu. Nilitaka kuanzisha Uzi kama huu. Huyu Mzalendo aliyepinga Corona hazarani je huu mikataba fake hauoni.?

Ukimya wake unafikirisha Sana Tanzania tuna safari ndefu. Kama mtu kaonja utamu wa hela ya ubunge kaamua kukaa kimya...

Means Mtu yeyote anahongeka na kukaa kimya Nchi hii. Wazalendo ni wachache sana
Kwake sasa ni kheri kunyamaa kuliko kusema.

Kwani Watanzania wanaoongea hawajatosha?
 
Umeweza kama Mimi Mkuu. Nilitaka kuanzisha Uzi kama huu. Huyu Mzalendo aliyepinga Corona hazarani je huu mikataba fake hauoni.?

Ukimya wake unafikirisha Sana Tanzania tuna safari ndefu. Kama mtu kaonja utamu wa hela ya ubunge kaamua kukaa kimya...

Means Mtu yeyote anahongeka na kukaa kimya Nchi hii. Wazalendo ni wachache sana
Hata hiyo Corona aliunga mkono maoni ya Mwenyekiti wake wa wakati huo.
 
Binafsi sijamsikia Gwajima Askofu akitoa msimamo wake kuhusu Mkataba wa DP World kama alivyotoa msimamo wake kuhusu Chanjo ya corona.

Naomba kwa yule aliyewahi kumsikia akuje hapa anitaarifu.

IMG_8308.jpg
 
UBUNGE!
 
Back
Top Bottom