Jana mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wasso huko Ngorongoro alimtaka raisi Jakaya Mrisho Kikwete ajiuzulu na kuondoka Ikulu mara moja. Kisa kushindwa kuwalipa wafanyakazi kiwango cha chini cha sh.315,000!
Kila siku za uchaguzi zinavyokaribia yaonesha watanzania wanazidi kukosa heshima kwa raisi wao. Kumfukuza rais aliyechaguliwa namna hii pia ni kuwakosea heshima mamilioni ya watanzania waliomchagua.
Sababu za kushindwa kuwalipa kazieleza na nyinyi mwawajua wanaofilisi uchumi wa nchi, mbona makucha yenu hamjayakunjua kiasi hicho kwao.
Rais wetu akicheka mwanuna na akinuna kwenu ni nongwa. Nyinyii!

Kumkosea heshima rais kwa kumwambia ajiuzulu?..Bwa ha ha ha..hizi sio zama za mawe wajameni.
Mzee mwanakijiji inaonesha unataka kisa/mkasa na rais.Kwanini usiseme kuwa yeye Rais kawakosea heshima Watanzania kwa namna alivyozungumza na watoa jasho laujenzi wa nchi hii na kuwabwatukia kama watoto wadogo? Au mmesahau hekima ya wazee kuwa "heshimu nawe utaheshimiwa". Heshima haitolewa kama zawadi..
Mzee mwanakijiji inaonesha unataka kisa mkasa na raisi.
Kumbuka heshima kwa tamaduni zetu,kwamba wazee wetu hata vibabu dhaifu wakitufokea au hata wakitupiga huwa hatuwarudishii kwa kuheshimu ukubwa wao ilhali uwezo huo tunao.Huwa tunatafuta njia nzuri za heshima kukaa nao.
Jengine ikiwa ndio siasa,mbona kwa Kikwete zaidi!
Jana mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wasso huko
Kila siku za uchaguzi zinavyokaribia yaonesha watanzania wanazidi kukosa heshima kwa raisi wao. Kumfukuza rais aliyechaguliwa namna hii pia ni kuwakosea heshima mamilioni ya watanzania waliomchagua.
. Nyinyii!
serikali ndiyo inatakiwa kuwachukulia hatua watu mafisadi wanaotafuna pesa za umma hadi serikali kupelekea kushindwa kulipa hicho kima cha chini.Raisi mwenyewe kakili kwamba 30% ya bajeti ya mwaka inaishia mikononi mwa wajanja ambao ni senior public officers.
Watumishi wa CHADEMA, BILLICANAS wanalipwaje?
Jana mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wasso huko Ngorongoro alimtaka raisi Jakaya Mrisho Kikwete ajiuzulu na kuondoka Ikulu mara moja. Kisa kushindwa kuwalipa wafanyakazi kiwango cha chini cha sh.315,000!
Kila siku za uchaguzi zinavyokaribia yaonesha watanzania wanazidi kukosa heshima kwa raisi wao. Kumfukuza rais aliyechaguliwa namna hii pia ni kuwakosea heshima mamilioni ya watanzania waliomchagua.
Sababu za kushindwa kuwalipa kazieleza na nyinyi mwawajua wanaofilisi uchumi wa nchi, mbona makucha yenu hamjayakunjua kiasi hicho kwao.
Rais wetu akicheka mwanuna na akinuna kwenu ni nongwa. Nyinyii!
Bilicanas inahusika vipi na Kikwete kushindwa kufanya kazi? bro be proactive to what is on the table, hapa maada ni kikwete's failure to provide good and better life to Tanzanians na si Bilicanas-------