TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Hii kitu ukishaifanya inakuwa ya kudumu au @ ukitaka kutumia pc ni lazima uscan hyo QR code mkuu?


Kuscan QR Code ndio njia ya ku-Login kwenye whatsapp web. Hakuna njia nyingine ya ku Login bila QR code. Otherwise ukiweka Remember, Keep me logged in.
 
naweza kuscan zaidi ya sim moja?

unaweza lakini baada ya kuLOGOFF account ya kwanza. au ukitaka kutumia account zaidi ya moja kwa wakati mmoja basi tumia browser tofauti.

kuscann QR CODE ni mbadala wa kuingiza username na password tu.. hivyo kama ilivyo email au facebook huwezi kutumia account 2 kwa wakati mmoja kwenye browser moja.
 
Top 3 Android Emulator For Installing Whatsapp on PC


Pia Pitia hii link
Code:
 [URL="http://www.techbate.com/5-best-android-emulator-for-windows-87xp/"]5 Best Free Android Emulator for Windows 7,8 & XP[/URL]
alafu nafanyaje nikishakua nayo?
 
Last edited by a moderator:
Top 3 Android Emulator For Installing Whatsapp on PC


Pia Pitia hii link
Code:
 [URL="http://www.techbate.com/5-best-android-emulator-for-windows-87xp/"]5 Best Free Android Emulator for Windows 7,8 & XP[/URL]


Asante sanaaa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa nnakapc kangu aina ya dell e6400, inanigomea kuingiza charge ila nnaweza kutumia Kama desk top.
Naomba kufahamu tatizo, je Ni adaptor battery charging system au umeme ninaoutumia?
 
Je inawezekana mtu kujiunga WhatApp moja kwa moja kupitia hizi site mlizozitaja bila ya kuwa na smartphone?
 
hakuna mkuu.... labda u run whatsapp kwenye computer kwa kutumia program ambazo.ni.android app players kama YOUWAVE.. ndio utatumia whatsapp kama ilivyo kwenye simu.
 
Naomba msaada wa jinsi ya kupata whatsapp app kwenye computer tafadhali kama ipo



download program inaitwa bluestack..kisha utaweza kutumia whatsapp na apps zote za android kweny pc yako...ila lazma pc yako Ram iwe kuanzia 2gb
 
Back
Top Bottom