TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Screenshot (264).png
baada ya hapo naelekea wapi wakuu

Cc; Abu Haarith
g vizy
 
mkuu kwanza kumbuka hii whatsapp haifanyi kazi kwenye windows 7 pia kwenye fileeagle wamekupa maelezo vema kuhusu ku conect na wifi soma kwa makini ukishindwa ndipo urudi tena mkuu
 
Mkuu.. hiyo inafanya kazi kwenye windows 7 kama kawaida... ila ile .NET framework ianzie 4.5...
 
View attachment 353052 baada ya hapo naelekea wapi wakuu

Cc; Abu Haarith
g vizy
kama una smatphone ingia kwenye whatsup yako sehemu ya menu utakuta sehemu imeandikwa whatsup web touch sehemu hyo kisha itakuletea namna ya kuscan hyo code utaplace ok automatically itaanza kuscani hyo code hakikisha simu yako unaisogeza karibu na monitor pale inapoonesha hyo code lakin pia pc iwe connected na internet pamoja na smartphone yako uwe umefungua data

baada ya hapo hyo code kazi yake ni kusoma info zako zilizopo kwenye cm na kudiplay kwenye computer kwa hyo unakuwa na namna mbili ya kuchat kwenye simu au pc
 
Mkuu.. hiyo inafanya kazi kwenye windows 7 kama kawaida... ila ile .NET framework ianzie 4.5...
mm mbna natumia window 7 na inafanya kazi kama kawaida ila n lazima uwe na net framework
 
kama una smatphone ingia kwenye whatsup yako sehemu ya menu utakuta sehemu imeandikwa whatsup web touch sehemu hyo kisha itakuletea namna ya kuscan hyo code utaplace ok automatically itaanza kuscani hyo code hakikisha simu yako unaisogeza karibu na monitor pale inapoonesha hyo code lakin pia pc iwe connected na internet pamoja na smartphone yako uwe umefungua data

baada ya hapo hyo code kazi yake ni kusoma info zako zilizopo kwenye cm na kudiplay kwenye computer kwa hyo unakuwa na namna mbili ya kuchat kwenye simu au pc
nashukuru nimefanikiwa mkuu
 
Back
Top Bottom