Tumezidi ushamba

wakati kesi iko mahakamani so stupid
 
Baba mshamba, unategemea watoto wafanane na nani?
Alivyo baba ndivyo walivyo watoto
 
Hizo pesa zilizotumika kuandaa na kuwalipa hao walioandamana, si wangeongezea tuu kwenye kasma ya kulipa hilo deni ili ndege iachiwe..!

Inanikumbusha wakati wasukuma wa Mwanza walivyoandamana kupinga ile documentary iliyokuwa inawaonyesha watu wakila mapanki ya samaki.. Sijui mmekwama wapi nyie..
 
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
 
#Hivi mshana mbona anafanana na yule katibu Mkuu mwenza wa wizara ya katiba na sheria??

#Sioni uzalendo wako uko wap bro, ofcourse ndege ni kitu kidogo lkn trust me ukishindwa kuthamini chako kidogo hutaweza kwa kitu kikubwa.

#Hao MATAGA ninawapongeza sana wameonesha nia na roho ya kujali.
 
Ushamba Gani HAPO Sasa Acha Kutuaminisha Ujinga,, Kama Wewe Ndiye Mjanja Hamia Kwa Wajanja Wenzako Kwani Umelazimishwa Kuishi Hapa Tz
kwahiyo huelewi ushamba gani mmeufanya watanzania au unataka tuchoshane tu..halafu usinipangie kwa kuishi wewe sio mke wangu..idiot
 
Si ushamba tu bali ni utaahira syndrome . This issue has become so serious and chronic these days
 
Kuhusu mauaji ya wanaija huko sauzi
Oneni kiazi mwingine huyu , hivi hii nchi mbona watu wanazidi kukosa akili kila siku ? . Duh ! Halafu unakuta jitu kama wewe eti una mtoto kabisa . Huyo mtoto si atakuwa disaster kwa mtindio wa ubongo kabisa ?
 
 
Kwa hiyo leo ndo umeonaa kuna umuhimu wa kuandamana eh?yaan akili za kilumumba ni kama saratan kwa taifa hili
 
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tunategemea utakuwepo uwanjani Dar, kuungana na Viongozi wetu "Wazalendo" kuipokea ndege yetu kwa shamrashamra itakapoachiwa. Onyesha "uzalendo" wako kwa "viongozi wako", sio lazima iwe kwa (Tanzania) kwa kuwepo kwako uwanja wa ndege. Ratiba kamili itatolewa mara tu taarifa zitakapopatikana.

Inashangaza kidogo kuona watu bado hawaelewi juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi wetu. Inamaana wewe hukushiriki katika yale mapokezi "Hapa Kazi Tu" ilipoingia Dar kwa mara ya kwanza? Sasa "uzalendo" uko wapi?
 
Oneni kiazi mwingine huyu , hivi hii nchi mbona watu wanazidi kukosa akili kila siku ? . Duh ! Halafu unakuta jitu kama wewe eti una mtoto kabisa . Huyo mtoto si atakuwa disaster kwa mtindio wa ubongo kabisa ?
Una uhakika? Matusi hayafanyi ukweli kuwa uongo. Na mtu akianza matusi jua ameishiwa hoja
 
Hapo walimaanisha watupe ndege bure bure bila kufuata sheria kwa kuwa tumewasaidia sana enzi za kupigania haki yao..kwa kweli huu ushamba unazidi kutuaibisha kimataifa tunaonekana ni nchi ya wapumbavu
Kweli kabisa huu ni ushamba wa Kiwango cha sgr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…