Tumeshinda vita ya awali

Tumeshinda vita ya awali

Yaaani unasema wazi wazi kwamba amekwenda peponi ,hivi unaijua pepo au unaisikia? Zungumzaaa yooote lkn ktk kizazi hiki hakuna mtu mwenye uwezo wa kumbashilia mwenzake pepo hiyo ilikuwa enzi za manabii na mitume
 
Ukweli ni kwamba kuwa kiongozi wa siasa alafu ukaingia peponi kazi sana , kuna makampuni ya pombe, kamali, kuna bar, watu wanaojiuza huko cassino uliwai kusikia mkuu wa nchi amekea hivyo? Maana anao uwezo wa kusema pombe marufuku , makampuni yote ya kamali marufuku , hii mungu amekemea sana lkn hakuna anaetetea sasa huko mbinguni utaulizwa ww kama kiongozi ulifanya nn kuzuiya haya? Peponi mbali sana sio kama unavyowaza
 
Watu hawaelewi madhara makubwa ya kukopa kama wendawazimu ili kugharamia miradi ambayo si kipaumbele kwa Taifa. Itafika wakati deni litakuwa kubwa sana na kufikia 80% ya bajeti ya kila mwaka au kwa maneno mengine senti 80 katika kila shilingi ya kwenye bajeti itakuwa inalipia principle na interest ya deni.
Tena uchumi
Wa deficit budget
Pia hesabu za chanya na hasi haelewi?
Deni limepanda anasifia
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
Bado madudu yake hayajajulikana hata 2%, alivuruga nchii vibaya na kutesa na kuua wengi.
 
Utateseka sana...ndiyo dunia imewajibu leo...pole utakufa kwa stress za roho mbaya
Mwenye roho mbaya kishakufa, kama unampenda mfuate huko tulikomfukia
 
Hahaha mkuu umemaliza kila kitu
stukeni nyie wapuuzi na mutambua kwamba mropokaji wenu kashakufa, binafsi siamini kama mwamba alikuwa na akili timamu, rais wa ovyo kabisa kuwahi kutokea sio tz tu bali mpk dunia nzima ilikuwa ikitushangaa tuliwezaje kumpa nchi hyu mtu.
 
Kunya Pilton upunguze maumivu maana leo dunia imesimama kuomboleza. Huyo ndiyo JPM na bado mengi yanakuja subiri Vatican wanakuja na nyingine fungal kazi.Yaani mtateseka were Eee.
Vatican ya wapi mtu amezikwa kwenye ngozi ya fisi na mamikuki?
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
Hongera UN...hongera Balozi Katanga ...Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo hili

JPM atabaki kuwa Shujaa hata katika kulala kwenye usingizi wa umauti
Wanafikiri amekufa wajue mbegu imekufa na kuzaa mbegu nyingi zaidi.... kikichokufa ni mwili tuu ila anazidi kuchipua nankumea kwa Watanzania na Dunia

Warumi 8: 5-8
Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili; bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho. Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii. Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
 
Well said. Kila nilipokuwa naangalia wajumbe wa UN kutoka maeneo yote duniani wakitoa salaamu kwa TZ leo kuhusu msiba wa Rais Magufuli, nimeelewa kuwa marehemu a
Legacy ipi mbayo mnatupigia kelele nyie wafuasi wa mfilisti unategemea UN wasemeje ikiwa MAGUFULI alikuwa rais kikatiba? Au hata protocal hamzijui mnashangilia hovyo hovyo kama wehu ?

Yaan ile roho ya kutukuza mliachiwa na muasisi wenu bado inawasumbua mnatukuza hadi maiti ? Nyie watu mnakichaa sana hata funza wanewazidi akili maana wapo wanamtafuna tu huko wala hawamtukuzi kama nyie.
metuachia legacy itakayodumu daima
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
Nakubaliana nawe UN wametoa tamko sijui nalo watapinga hao wasaliti????????????
 
NI KWELI HUWEZI FUTA LEGACY YAKE.

1.ALIKUWA HASHAURIKI

2.ALIKUWA MTU MWENYE CHUKI.

3.ALIHARIBU BIASHARA NA UWEKEZAJI.

4.ALIKUWA MKABILA NA MKANDA.(regionalism)

5.NEPOTISM MONGERS

6.ALIKUWA MVUNJIFU WA KATIBA.

7.ALIKUWA DIKTETA MTAWALA WA KIIMLA

8.MIZOGA YA BINADAMU ILIELEA KWENYE SANDALUS PWANI NA MITONI.

🤣🤣🤣🤣 HIZO NI BAADHI YA MAMBO KATIKA LEGACY YAKE.

🤣🤣🤣 UMESEMA KWELI LEGACY YAKE HAIFUTIKI.
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
Upepo unaelekea wapi?
 
jamani mbona huku mtaani ilikua tofauti na mnavyoamini baada ya kifo wengi walisema angalau tutapata nafuu?!
 
Ungepunguza mahaba huenda ungenena yaliyo bora zaidi....
Kwanza unauhakika gani kuwa Marehem yuko peponi?
 
Well said. Kila nilipokuwa naangalia wajumbe wa UN kutoka maeneo yote duniani wakitoa salaamu kwa TZ leo kuhusu msiba wa Rais Magufuli, nimeelewa kuwa marehemu ametuachia legacy itakayodumu daima
Ni jambo la kawaida sana kwa UN kumkumbuka raisi aliyefia madarakani wala si kitu kipya kwa Hayati Magufuli tu ila tafakali tu wanamkumbuka mtu ambae hakuwahi au alikuwa anaogopa kufika huko UN.
 
Back
Top Bottom