Tumeshinda vita ya awali

Tumeshinda vita ya awali

Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa, akiwa hai na hata katika umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism, Magufulication, Magufulists, iwe jua, iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
Shujaa Kuipuuzia corona Ni kujitafitia mauti
 
Back
Top Bottom