Tumeshinda vita ya awali

Tumeshinda vita ya awali

Maisha ni vitendo sio Lugha laini na vicheeko utadhani demu!!

JPM alijua nini cha kufanya mtu angali hai, ameacha kitu cha kukumbukwa miaka 300 mbele!

Sasa Uraisi, mtu anautafuta huku akiwa na swali moja tu, Nami nitafika katika viwango vya Yule 2015 - 2021?
 
Hongera UN...hongera Balozi Katanga ...Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo hili
I salute our mother, anajua sana kurudisha mapigo...Barikiwa mama!

Huwi shujaa kwakuharibu sifa ya wengine, unakuwa shujaa kwakuenzi mashujaa kwa maneno na vitendo...Keep it up and to the government of Tanzania, I salute you!
 
Walikuwa na kasi ya kishetani sana hawa jamaa. Umma wa watanzania walio wengi wanakubali sana Magu, mtu awaye yote akujitokeza kumsimanga, lazima ashambuliwe. Legacy ya Magu ni ya miaka mingi mno, tangu akiwa waziri, umma ulikuwa unamfahamu utendaji kazi wake na misimamo yake; utawezeji mnafiki mmoja umchafue kwa report uchwara ya CAG?...
Yule kima Mwendazake hajaacha legacy yeyote zaidi ya kuharibu nchi yetu nzuri kiuchumi na mahusiano ya kimataifa. Legacy haigombewi, huonekana kweupe tu.

Tutamkumbuka kama murderer, dictator, mbaguzi wa kikabila na kidini, mwongo na mwizi
 
Yule kima Mwendazake hajaacha legacy yeyote zaidi ya kuharibu nchi yetu nzuri kiuchumi na mahusiano ya kimataifa. Legacy haigombewi, huonekana kweupe tu.

Tutamkumbuka kama murderer, dictator, mbaguzi wa kikabila na kidini, mwongo na mwizi
Utateseka sana...ndiyo dunia imewajibu leo...pole utakufa kwa stress za roho mbaya
 
Ndio ndio mkuu nimesoma. Ila pale aliposema kuwa "90% ya raia wa Tanzania ni magufulists" ndipo nilipoacha kusoma kwakuwa nimejua mwenye thread ni mjinga kwakuwa hata tukimuuliza hizo takwimu amepata wapi au amezipataje hataweza kutujibu.
Kwani takwimu kuwa asilimia 100 ya watumishi wa umma waliofanya Taifa hili lifike uchumi wa kati kabla ya muda Prof. ASSAD alitoa wapi?
 
Kwani takwimu kuwa asilimia 100 ya watumishi wa umma waliofanya Taifa hili lifike uchumi wa kati kabla ya muda Prof. ASSAD alitoa wapi?
Hawa wa kimara wabomoleeni wale wa Mwz waacheni ndio wapiga kura wangu hao.

Eti huyo ndiye mtu wa wakuleta umoja wa nchi.

Ila Mungu ni fundi aisee.
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Mmeshinda nini sasa wakati shujaa wenu kafa?
 
Oya mimi sio msukuma. Ache kupotosha uma!. Ndio sisi tuna mkubali Shujaa wa Afrika kwasababu ametutoa kwenye giza, na kutupeleka kwenye mwanga. Tulidanganywa sana sasa hatudanganyiki tena.
 
Ninayo ndoto kwamba ant magufuri wote ndani ya ccm watafutika ktk ramani ya siasa rasmi 2025,Mungu ibariki TANZANIA,Mungu na aipumzishe roho ya Dr.
Nimeota ndoto nayo ni hii,wenye ndoto ya Urais wote ambao ni Ant- Magufuri waliopo ndani ya ccm watakufa Kisiasa na ndoto zao na hawatasikika tena baada ya 2025.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Dr.Magufuri mahali pema peponi.
 
Magufuli alishakufa.
Wafuasi wake wamebakia kuvutana tu. Wapo walioamua kuachana na akili za marehemu ili waishi kwa akili zao (hawa ni wanafiki) na wapo wengine waliosema wataishi kwa akili za marehemu tu(hawa ni misukule)
Ni vita ya Wanafiki vs Misukule.

Muda utatoa picha nzuri.
 
UPUMBAVU MTUPU!
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
 
Back
Top Bottom