Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

Nimekuwa mteja wa ABC toka 2021 changamoto ya basi kupata shida tuliipata 2022 toka hapo haijawahi tokea shida kubwa.Ukiondoa ubahiti wa kichaga wa kugawa maji na pipi tu vingine wako vizuri Customer care iko vizuri,vifurushi wanajitahidi pia.
Walikuwa hawajawazoea Wateja,wanatukosea nidhamu,taili za nyuma zimeisha sio za safari ndefu
 
Eti
Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!

Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!

Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
Eti ABC UPPER CLASS!!...UPPER class na kuziba pancha wapi na wapi?..
 
Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!

Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!

Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
Mnaenda wapi?
 
Nadhani ni bahati mbaya tu hio ila ABC kwa ujumla wake wako vzr, nikiwa mtu wa magari napenda kupanda zile D14 zao za tunduma nafurahiaga ule muungurumo wake wa injini..ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom