Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!

Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!

Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
Shukuruni ni pancha maana ingekuwa burst mngeumia
 
Niliwahi kupanda hili basi kuelekea Singida, wapo vizuri. Hata huduma zao kuingia ile hotel Moro, ipo vizuri, bei stahiki.

Nyingine changamoto za kawaida.
 
Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!

Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!

Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!

Hiyo lini hiyooooo????
 
Unajua tofauti kati ya kisafiri na kwenda??
 
Back
Top Bottom