Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,809
Reaction score
3,406
Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!

Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!

Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
 
Msiba usikie tu kwa jirani ila usiombe kupatwa nao.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Nakumbuka kuna gari tulipanda natoka Mwanza ikala pancha kisha ikakatika mkanda fulani hivi unao control gear lever ilikua katikati mbele giza nyuma giza tulipokula pancha hakuna hata mtandao wa simu tulisoota sana pale jamaa hadi masaa matatu yanakatika wanawake wanajimanua manua tu kukojoa vichakani sio poa sijui ilikua ni minyege
 
Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!
Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!
Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
huenda wameshuka viwango hao jamaa wa ABC, walikua maridadi sana hapo nyuma kidogo kuhusu muda wa kuanza safari na kumaliza safari.

kama wamefikia hatua ya kukosa spare tajiri , bas wana hali mbaya mno kwa sasa.

Pole gentleman 🐒
 
Msiba usikie tu kwa jirani ila usiombe kupatwa nao.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Halafu hawana apology,wanadanganya abiria kuwa tunajaza upepo! Kumbe taili lililochoka linawekwa kiraka kwa ndani baada ya kutoa kwenye rimu!
Shame on these investors! Askari wakague spea taili kwenye Magari haya na taili zilizochoka
 
Ndugu abiria naomba utuvumilie wakati tukipambana kurejesha huduma, au kama unaona unacheleweshwa unaweza kushuka na kupanda Katarama

Asante kwa uelewa ndugu mteja 😎
HSpSllrX0AAW6Ix.jpg

😅😅😅💔
 
Nimekuwa mteja wa ABC toka 2021 changamoto ya basi kupata shida tuliipata 2022 toka hapo haijawahi tokea shida kubwa.Ukiondoa ubahiti wa kichaga wa kugawa maji na pipi tu vingine wako vizuri Customer care iko vizuri,vifurushi wanajitahidi pia.
 
Back
Top Bottom