Tumejiandaaje kwa sherehe za mwisho wa mwaka?

Siendi/sisafiri popote, nitakuwa kwangu na familia yangu. Karibuni sana hii holiday season kwangu.
 
Miaka inakumbia sana nakumbuka Christmas tulivyofurahia

Babu akiwa na kanzu, bibi akiwa na gauni lake refu!! Kama la malkia
Life was so good
 
Inarudi tena mkuu,umejiandaaje kuifanikisha hiyo furaha
 
Back
Top Bottom