Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

Na huyu nae kuna wakati utamuona adai Demokrasia. Kwa hiyo mimi nikienda kuchukua fomu kuwania Urais usalama wakiona sifai waniue? Au wafanyeje? Kila mtu ana haki ya kuwania cheo fulani ilimradi sheria na katiba vinamruhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app

soma vizur pointi yangu. usalama wapo kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi. hivi kwa mfano chama kimempitisha mtu ambaye amewahi kuwa kichaa akapona unafikiri inakubalika kisheria??

ninacho maanisha wao wanaenda kwenye kamati za uteuzi kupeleka makatazo yao, huyu hafai kupewa madaraka haya. kwa sababu moja mbili tatu. mtu akichukua fomu kiuhalisia ni sawa na kuwa rais mtarajiwa. hata kama wapo 100 taratibu zinawaona kama watarajiwa. sio taratibu kusubili hadi achaguliwe na chama kugombea ndio muanze kusema huyu amewahi kuwa mwenda wazimu. pale sio sehem sahihi inakua ni kumdharirisha! mseme mapema kwenye vyumba vya uteuzi.

chama hakiwez kuwa na recodi za kila mtu.
 
Madai ya mleta mada hayako wazi

yako wazi sana ukituliza akili kutafakari mwenendo wa nchi yetu. kimsing hayakulenga kauli ya mjuu wetu kujiita kichaa kwangu halijaleta madhara.

ila kuna mengi yamefanywa na utawala huu nikiyatakari naumia sana. mfano kusema ACCACIA tunawadai 490 trillion!!!! yaan najiona huko nchi za wengine sisi woooooote watanzania tunaonekana vichaa na sio mmoja.

na sahiz imeinuka kusema tuwalipe wao trillion 4 na ushee ndio kabisaaaa napata hasira ila sina cha kufanya.

tunatawalipa kwa kosa la kutamkwa tuu!! yaan kuuzuia ulimi tu umetuletea hasara ambayo ingetosha kujenga hospital kubwa kama mhimbili kila mkoa!! yaan dar
 
TISS walifanya kazi kubwa 2015 wakamchomoa Lowassa maana waliingia kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM wakiwa na rundo la makabrasha ya ushahidi wa ufisadi wa Lowassa
 
Mkuu wa Nchi kujinadi hadharani kwamba yeye ni KICHAA ni hatari na fedheha kubwa kwa Nchi husika.
Dah...kwa hali ya nchi ilivyokuwa hapo awali...kweli tulihitaji ''KICHAA'' ili aweke mambo sawa.....😎
 
Hivi hakunaga kuandaa viongozi bora? niliposikia akimtaja waziri kuwa nikichaa kama yeye niliipata nguvu na kubadili channel
 
Dah...kwa hali ya nchi ilivyokuwa hapo awali...kweli tulihitaji ''KICHAA'' ili aweke mambo sawa.....😎
Ili tuwe na makesi ya kibiashara tuanguke kiuchumi au sukari kilo iuzwe sh. 5,000 ndo tusalimike?
 
usalama wa taifa walikuwa makini ndio maana waliusambaratisha mtandao wa waliotaka kugawana nchi kama urithi wao
 
Ingekuwa ma walking dead Yana mwagwa Kuna kipande yange mwagwa ya kutosha
 
Back
Top Bottom