Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
2,330
Reaction score
4,123
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
 
Jamani mimi nasikiasikia tu kuwa jiwe kajiita kichaa, je ni kweli au watu wanazusha tu kwa sababu zao binafsi? Hata kama jiwe hajielewi lakini sitaki kuamini kuwa anaweza kujiita kichaa
 
Kwani hizo lugha si ndio mnazotumia wabongo kusifiana? Mara ngapi mnasifiana kwa kuitana "Mambo Kichaa wangu" hujawahi kusikia tambo za "Usimudharau jamaa mshenzi sana"
Mnajifanya leo hamuelewi, haya jamaa walizamisha meli sababu kichaa mmoja aliwabana kwa kukikuka sheria za uvuvi😀😀😀
 
Hi
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Hii mikataba yoote inayosemekana ni mibovu,rasimali zote anazosema Rais Magufuli kuwa tumeibiwa na tumechezewa, mistu, madini, mbuga za wañyama na uharamia wote Usalama wa taifa walikuwepo na wanajua a to z. Hakun wizi ulifanyika nchi hii TISS hawaujui ama kwa kushiriki moja kwa moja ama kwa kufumbia macho kutokana na uchumia tumbo.
 
Hata hayo usalama imekula kwao, na wakimletea fyoko fyoko atawanyoosha
 
Acha upimbi wewe!

Tumefikaje hapa wapi? Ainisha tulipo na tulipotoka tuone utofauti wake!

Hii tabia ya kila kikaragosi kujifanya eti na chenyewe kinajua sana mambo ya nchi hii ifike hatua ikome sasa!

Yani wewe na hao usalama wa taifa nani anaona zaidi nchi ilipo? Pumbavu kabisa.
 
Anafedhehesha Taifa na Misingi ya waasisi wa Taifa...Jeshi na TISS wapo wanatizama tu.
 
Kwani hizo lugha si ndio mnazotumia wabongo kusifiana? Mara ngapi mnasifiana kwa kuitana "Mambo Kichaa wangu" hujawahi kusikia tambo za "Usimudharau jamaa mshenzi sana"
Mnajifanya leo hamuelewi, haya jamaa walizamisha meli sababu kichaa mmoja aliwabana kwa kukikuka sheria za uvuvi😀😀😀
Kuna mipaka...NDIO MAANA KUNA KAZI UKIPATA KAMA ULIZOEA KUNYOA KIIDUKU AU KUVAA BUKTA...INAKUWA NI MWENDO WA SUTI HATA KAMA UMELEWA KONYAGI BAPA....Magu hana Diplomasia kwasababu hakuwahi kudhani atakuja kuwa Rais.
 
Ila watanzania kwenye hotuba hakumaanisha ni kichaa wa makopo ni kichaa wa kazi nilikuwepo live
du ,huyu kichaa wa kazi yukoje?elewa kuwa tafsiri ya kichaa ni kuwa na upungufu wa kufikiri kwa makini(applying your mind),ndio maana tunachuhudia kiongozi anateuliwa leo baada ya few days uteuzi wake unatenguliwa,hii ina maana ni uteuzi uliofanywa kwa kichaa.
 
Kuna mipaka...NDIO MAANA KUNA KAZI UKIPATA KAMA ULIZOEA KUNYOA KIIDUKU AU KUVAA BUKTA...INAKUWA NI MWENDO WA SUTI HATA KAMA UMELEWA KONYAGI BAPA....Magu hana Diplomasia kwasababu hakuwahi kudhani atakuja kuwa Rais.
Hizo ndio mbinu za uongozi, ukitaka ujumbe uwafikie vizuri unaongea kwa lugha walizozizoea, hata wachungaji na mapadri wazuri, pamoja na lugha za kiimani huchomeka lugha za mtaani kufanikisha ujumbe ufike.
 
Back
Top Bottom