Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

Kwani hizo lugha si ndio mnazotumia wabongo kusifiana? Mara ngapi mnasifiana kwa kuitana "Mambo Kichaa wangu" hujawahi kusikia tambo za "Usimudharau jamaa mshenzi sana"
Mnajifanya leo hamuelewi, haya jamaa walizamisha meli sababu kichaa mmoja aliwabana kwa kukikuka sheria za uvuvi[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kauli wanajifanya hawaielewi kabisa.Siasa za Tanzania burudani sana.
 
Hivi leo mtu akitamka hadharani kuwa mzee wa kaya (kwa jina lake halisi) ni kichaa hatakamatwa kwa uchochezi na kashfa?
 
Tumefika kwenye kumiliki Meli,ndege na miundombinu bora kuliko wakati wowote ikifika 2022 mtaanza kujua mkuu amewatoa wapi Na mmefika wapi


Sent using Jamii Forums mobile app

wengi wamechangia hii mada kwa kunukuu kauli ya jana ile ya kujiita kichaa!! binafs haina madhara hata robo. ila yapo mengi yametokea na yatatokea kiukweli tutajuta.

unaongelea kumiliki hivyo vitu , lakn umejua hasara ya makinikia ni zaid ya vitu vyote hivyo!! yaan kauli tu ya kusimamisha kusafirisha!! achilia mbali wameendelea kusafirisha tena!! ni trillion 4.kadhaa. piga hesabu vyote ulivyotaja harafu ulinganishe ndio utajua tunafaidika na utawala huu au tunaumia!!!
 
TISS ni taasisi ya CCM,wako "busy" kuwawekea gram mia tatu mia tatu za dawa za kulevya raia ili wahukumiwe kama wauza "Unga",kazi nyengine kubwa waliokuwa nayo ni kuwabambikizia kesi wapinzani,,hakuna usalama wa taifa tanzania kuna taasisi isiojua majukumu yake...
 
Me nawalaumu sana hawa jamaa, 2015 walikuwa wapi hadi wakatuletea hili tatizo ambalo halioni aibu kujinadi kwamba ni kichaa mbele ya umati mkubwa wa watu? ni hatari sana
Mkuu kichaa anaonaje aibu?
 
Anafedhehesha Taifa na Misingi ya waasisi wa Taifa...Jeshi na TISS wapo wanatizama tu.
Kwahiyo jeshi ulitaka lifanyeje?
Hayo mawazo yako futa kabisa. Na ndio rais wako huyo hadi 2025
 
Una uhakika gani kama hawakushauri?

Je kama walishauri na ushauri wao ukapuuzwa?
hii kauli kuwa TISS wanashauri ila ushauri wao hauwafanyiwi kazi huwa inanikera sana.ilianza kuchukua nafasi enzi za mkapa na baadaye JK.

huwa noana ni kama wanatumia hiyo kauli kujisafisha mbele ya umma kuwa wao wana perform vizuri wakati ukweli ni kwamba hata wao(TISS) ni tatizo katika nchi hii.

wamechangia pakubwa sana katika kuikwamisha tz isipige hatua kimaendeleo kutokana na kukumbatia kwao itakadi/mbinu za kizamani za masuala ya ujasusi wa nchi.
 
Amenikumbusha kikao kimoja miaka ya 1990 mwanzoni ambapo mkuu wa polisi mmoja alimzungumzia afisa usalama wa taifa kuwa ndiyo 'grease' ya nchi! Methinks huu ni mpango wa Mungu kuwaonyesha watu wake aina mbalimbali za uongozi.
 
Kwahiyo jeshi ulitaka lifanyeje?
Hayo mawazo yako futa kabisa. Na ndio rais wako huyo hadi 2025
HAHAHA MAANA YAKE KADI YANGU Y mpig KURA HAINA MAANA HADI 2025? you are not serious
 
Wamebaki kupoteza watu wasio na hatia tuu. Misingi ya kazi imezikwa. Taifa liko gizani.
 
Mi nataka kujua wale jamaa wenye Uniform tofauti na ya JWTZ wanaomlinda Mh dk.JPM ni raia wa nchi gani?
 
Jamani mimi nasikiasikia tu kuwa jiwe kajiita kichaa, je ni kweli au watu wanazusha tu kwa sababu zao binafsi? Hata kama jiwe hajielewi lakini sitaki kuamini kuwa anaweza kujiita kichaa
Ingia youtube ndio mambo yote
 
Kwani hizo lugha si ndio mnazotumia wabongo kusifiana? Mara ngapi mnasifiana kwa kuitana "Mambo Kichaa wangu" hujawahi kusikia tambo za "Usimudharau jamaa mshenzi sana"
Mnajifanya leo hamuelewi, haya jamaa walizamisha meli sababu kichaa mmoja aliwabana kwa kukikuka sheria za uvuvi[emoji3][emoji3][emoji3]

So ni kweli alijiita kichaaa? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom