Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

..wako kudhibiti wapinzani.

..siku ukisikia wapinzani wamehujumu halafu hawajachukuliwa hatua utakuwa na sababu zote za kuuliza kulikoni.
 
Huko USA ambako wameshindwa kuzuia kuingiliwa na Urusi katika uchaguzi na kujikuta wanapata Rais wasiyemtaka ndo unawaambia wakajifunze huko? Kweli, kazi ipo.
Kura za urais si alishinda clinton sasa hao urusi waliiba nini?? Huyo clinton alizidiwa tokea mashinani mpaka congress ndio kilichomuangusha hakuna kura iliyoibwa kilichoingiliwa ni kampeni ambazo mwisho wa siku clinton alishinda sasa rais gani wamechaguliwa na urusi??

Hao TISS kama wako sharp walikuwa wapi mpaka kura zinaibwa zanzibar na bara?? Walikuwa wapi miswada mibovu ya sheria za madini ikipitishwa?? Walikuwa wapi makinikia yakiibwa.... Vp tembo na vifaru mpaka wamemalizwa je hao TISS walikuwa wapi??

Ningependa mjibu haya maswali hayo ya syria na iraq ni sababu watanzania ni waoga tu ila hao TISS hamna wanaloweza zuia maana kama mafisadi tu wamewashinda sembuse magaidi wakiamua??
 
wao ndio wa kuhakikisha taifa haliingii hasara. et mtu mmoja tu anavuruga taifa wao wapo kimya !! et tumeshauri hasikii!! huyo ambaye hasikii amekua mkubwa kuliko Tanzania??
 
Lugha bado ni tatizo sana kwetu. Kiswahili kina hazina kubwa sana ya maneno wala neno kichaaa lisikuchanganye...
Nimekupata kichaaa wangu usijione mweupe kichwani bado una muda wa kuonyesha wewe ni Simba katika mambo ya lugha.
 
Lazima kuna kitu hakiko sawa ndani ya taifa letu hili...ngoja niendelee kutafiti kama kuna nchi yoyote duniani ambapo kiongozi wake mkuu aliwahi kukiri kuwa ni kichaa hadharani na baadhi ya wananchi wakapiga makofi na vigelegele. Naam, hiyo ndiyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulio na safu ya viongozi unaoanzia kwa Kichaa Mkuu Kitaifa hadi vichaa vidogo vidogo Kimkoa na Kiwilaya! Vichaa tunawapa rungu halafu tunaanza kulalamika rungu zinapotumika...nadhani huo nao ni ukichaa!
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Planned
 
Me nawalaumu sana hawa jamaa, 2015 walikuwa wapi hadi wakatuletea hili tatizo ambalo halioni aibu kujinadi kwamba ni kichaa mbele ya umati mkubwa wa watu? ni hatari sana
Tatizo ni ninyi wananchi kukubali yote , ninyi ni wajinga na wapambavu
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Hicho kitengo majukumu yao yalihamiaga kwenye mabaa na ile misemo yao unanijuwa mie nani. Kazi za msingi waliacha. Sasa hivi wamepotezwa kabisa na wazee wa muweke huyu ndani masaa 48 sitaki mchezo. Bongo tambalale.
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Na huyu nae kuna wakati utamuona adai Demokrasia. Kwa hiyo mimi nikienda kuchukua fomu kuwania Urais usalama wakiona sifai waniue? Au wafanyeje? Kila mtu ana haki ya kuwania cheo fulani ilimradi sheria na katiba vinamruhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wote anaofanya huyu kichaa ni kwa sababu jeshi na usalama wa taifa wamelegezea kamba huyu ni wakumlaza tu kama anavyolaza wenziwe
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Nakubaliana na wewe mkuu 100%.TISS wanabeba lawama yote kwa taifa letu kufika hapa lilipo leo,hawawezi kujitetea kwa lolote.Machozi yetu yanamimnika juu ya vichwa vyao.Nguvu nyingi anazotumia Rais kurekebisha mambo ni kwa sababu wao hawakuwajibika ipasavyo.Nadhani wameshaliona hili na wamerekebisha mambo.
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Mkuu umeongea ukweli mtupu, hawa jamaa wanadhani kazi yao ni kuteka na kungoa watu kucha na meno bila ganzi. Hawajielewi wanapelekwapelekwa tu kama kend*
 
Back
Top Bottom