Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

Hizo ndio mbinu za uongozi, ukitaka ujumbe uwafikie vizuri unaongea kwa lugha walizozizoea, hata wachungaji na mapadri wazuri, pamoja na lugha za kiimani huchomeka lugha za mtaani kufanikisha ujumbe ufike.
NOP...not on International diplomatic Laws...ndo maana hata Bahari ina mipaka japo bado hatujaipima na kuigawana vizuri.
 
Rais alikuwa anaongea na Watanzania wenzie kupitia wananchi wa Mwanza, ule haukuwa mkutani wa hadhara wa Diplomatic
 
kwann mwanza kila siku wakati kuna mikoa kama 10 hajakanyaga?? mkuu this is not your cup of tea.
 
Hizo ndio mbinu za uongozi, ukitaka ujumbe uwafikie vizuri unaongea kwa lugha walizozizoea, hata wachungaji na mapadri wazuri, pamoja na lugha za kiimani huchomeka lugha za mtaani kufanikisha ujumbe ufike.
Kinachoongelewa ni ujumbe au ukichaa?
 
Ila watanzania kwenye hotuba hakumaanisha ni kichaa wa makopo ni kichaa wa kazi nilikuwepo live
kumbe kuna kichaa wa kazi, anakuwaje huyu kichaa

na wewe una uhakika gani kama hakumaanisha kichaa wa makopo
 
Nikijadili hii mada nitakuwa miongoni mwa watu wasiotumia akili na muda wao vizuri. Hakuna productivity katika huu mjadala ndo maana tunadharauliwa na mataifa mengine kwa kujadili pumba au vapour kwa lugha nyingine.
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Tuna raisi kichaa, tundu alisema tuna raisi wa ajabu akafunguliwa mashtaka
 
Wakutafute wewe nani
 
du ,huyu kichaa wa kazi yukoje?elewa kuwa tafsiri ya kichaa ni kuwa na upungufu wa kufikiri kwa makini(applying your mind),ndio maana tunachuhudia kiongozi anateuliwa leo baada ya few days uteuzi wake unatenguliwa,hii ina maana ni uteuzi uliofanywa kwa kichaa.
Kununua wapinzani na kurudia uchagizi ni kichaa
 
TISS ilishajifia zamani. Sasa hivi ni kitengo cha chama. Mambo mengi ya hovyo yanatokea, watu kutekwa, kupigwa, kuuawa, kuteswa, kunyimwa haki, kudhalilishwa, kusingiziwa ubaya, nchi kudharauliwa na nchi jirani, wahamiaji haramu kuingia kila kukicha na mengine mengi ya hovyo.
Hawa jamaa wala hawana habari kwa kuwa nao ni wahusika wa mambo ya kijinga.
Ni vema wakajifunze USA au England jinsi State Security bodies zinavyoendesha mambo yao.
 
yaan kila nikijiuliza maswali nakosa majibu. hivi wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu nani anasimamia misingi ya nchi!! je ni wanasiasa au watumishi wa umma ikiwemo taasisi nyeti ya TISS??

kama na usalama wanahusika inakuaje wanakaa pembeni katika kipindi kigumu cha kumpata kiongozi wa nchi??

hivi kweli 2015 usalama wa Taifa mlikuwepo waheshimiwa wangu??
nauliza tu msinitafute ila nina maswali mengi sana siwez kuyaweka bayana hapa. maana naweza leta taharuki.

ninavyojua nyie ni washauri wakuu mnaweza ingia chama chochote na mkakaa nao mezani kuwaambia huyu hafai kupewa cheo kikuu cha nchi huyu anafaa huku mmeenda na vielelezo rukuki huko vyumbani. nani atawapinga mkienda na historia ya mgombea ?? jua nyie ndio mmepewa mamlaka ya kutuchunguza. mafaili yetu mnayo nyie mjue!!

hivi mnajua nyie ndio injini ya nchi??

wapuuzeni wanaodhani kazi yenu ni kutafuta watu wabaya katika nchi na kuwanyooshea kidole tu, hako ni kasehemu kadogo katka majukumu yenu. kazi yenu kubwa ni kusimamia uchumi wa nchi. uchumi ukiyumba inchi inakua haina usalama tena!!

kauli ya rais inaweza vuruga uchumi wa nchi hata kwa miaka 20. ina uwezo wa kuleta hasara ya miaka hata 100!! anaweza leta hasara ya roho za watu maelfu. sitak niende kiundani mnajua kinachoendelea!! kiukweli mimi nawalaumu nyie.

jipeni muda mjitafakari mnavyolitia taifa hasara. kauli ilitamkwa kwenye tv tu ila tunadaiwa ng’ombe nne na mbuzi kadhaa!! mlikua wap!! haka ni ka mfano tu yapo mengi nyie ndio nawalaumu siku hadi siku. na miaka ijayo kitengo chenu ndio kitabeba lawama zote. maana nina uhakika kama taifa tutavunja record kwa mambo kadhaa wa kadha yatakayo litia taifa hasara na madoa kibao.

tafadhari wazee wa kazi huko mbele msirudie makosa yanaligharimu taifa.
Kuna Uzi humu unatrend ukimuhusisha jiwe na nduguze vichaa wanaishi Bukoba Mjini kwa mzee machalila,uhuenda kuna ukweli
 
Labda uligawanyika(mpasuko).Labda walikodi maafisa Usalama wa Kenya,labda ndio mpaka sasa wanatuongoza na kumshauri mzee.Labda labda Labda yule jamaa wa Kenya ndio mshauri na mpanga mikakati mkuu wa Tanzania kwasasa Labda yani labda naogopa kuogelea koko Beach..
 
Huwa najiuliza hili swali kila Mara matukio yasiokuwa na maadili yanapofanyika. Hitimisho langu huwa ni "hakuna mzalendo" tena kwenye maeneo nyeti. Watu wana angalia maslahi tu
 
Kwani hizo lugha si ndio mnazotumia wabongo kusifiana? Mara ngapi mnasifiana kwa kuitana "Mambo Kichaa wangu" hujawahi kusikia tambo za "Usimudharau jamaa mshenzi sana"
Mnajifanya leo hamuelewi, haya jamaa walizamisha meli sababu kichaa mmoja aliwabana kwa kukikuka sheria za uvuvi😀😀😀

Una umri gani labda mkuu, ninachojua hizo lugha za vijana tena wale wanapiga cha Arusha. ukikuta mtu mzima kama mimi nasema yule ni kichaa wangu, hapo kuna walakini kubwaa sana.
 
Me nawalaumu sana hawa jamaa, 2015 walikuwa wapi hadi wakatuletea hili tatizo ambalo halioni aibu kujinadi kwamba ni kichaa mbele ya umati mkubwa wa watu? ni hatari sana
Uminyaji wa demokrasia na kutokujua mambo ya uchumi ndiyo makosa lakini mikwara imesaidia.Watu wamenyooka kila idara
 
Acha upimbi wewe!

Tumefikaje hapa wapi? Ainisha tulipo na tulipotoka tuone utofauti wake!

Hii tabia ya kila kikaragosi kujifanya eti na chenyewe kinajua sana mambo ya nchi hii ifike hatua ikome sasa!

Yani wewe na hao usalama wa taifa nani anaona zaidi nchi ilipo? Pumbavu kabisa.[/QUOTE

Nimependa ulivyomjibu huyo kikalagosi. Yeye anafikiri hao watu wanafanya kazi kwa kumfurahisha mtu. Mpaka anapata muda wa kuandika utumbo wake hajui ni hao wameifanya nchi hii kuwa na amani na kumfanya yeye kukaa chini na kuandika utumbo huo. Hanoi hali ilivyo huko Syria, Yemen, Libya, nk. huko ndo angeuliza huo upuuzi wake. Kikalagosi usiyejua kitu, wacha kutaka kujua mambo yasiyokuhusu.
Funga kabisha hilo bakuli lako, wasije wakakufundisha kumind your business.
 
TISS ilishajifia zamani. Sasa hivi ni kitengo cha chama. Mambo mengi ya hovyo yanatokea, watu kutekwa, kupigwa, kuuawa, kuteswa, kunyimwa haki, kudhalilishwa, kusingiziwa ubaya, nchi kudharauliwa na nchi jirani, wahamiaji haramu kuingia kila kukicha na mengine mengi ya hovyo.
Hawa jamaa wala hawana habari kwa kuwa nao ni wahusika wa mambo ya kijinga.
Ni vema wakajifunze USA au England jinsi State Security bodies zinavyoendesha mambo yao.
Huko USA ambako wameshindwa kuzuia kuingiliwa na Urusi katika uchaguzi na kujikuta wanapata Rais wasiyemtaka ndo unawaambia wakajifunze huko? Kweli, kazi ipo.
 
Back
Top Bottom