Kama hii ni posho wanayolipwa kujikimu wanapokuwa nje kikazi, wala hatuna sababu yoyote kuhoji kiasi hicho kwani ni cha kawaida kabisa. Kinachotushitua ni maandishi ya mleta mada kuwa wanalipwa kila siku tangu waanze kazi bila kujali wametoka au la. warioba, Salim na jaji Augustino wote wanalipiwa nyumba hapo Dar, wanalipiwa wapishi na wanalipwa pensheni inayowatosha kuishi bila dhiki yoyote. Kama na wao wanalipwa posho hizo wawapo Dar, watakuwa wezi sawa na wezi wengine unaowafahamu na lazima wakemewe.Ni kweli kiasi hiki ni kikubwa mno. Lakini, ifikie mahali tukubali kuwa gharama ni lazima kwa mambo fulani fulani. Kwa mtu ambaye ametoka nje ya Dar na hana mshahara wowote na kwa upande mwingine anafamilia, kiasi hiki ni kikubwa lakini sio kikubwa sana. Lazima tukubali kuwa usifike wakati mjumbe mmoja akajiuzulu kwa sababu tu, nachokipata katika tume hii hakilingani na mapato yake nje ya tume. Watu walioteuliwa ni watu ambao ni waadalifu kwa kiwango kikubwa, ni weledi waliotukuka na wana hadhi inayowafanya wasiwe omba omba. Nawashauri watanzania wenzagu tukuikubali gharama hii kwa kazi muhimu.
Nakufahamu sana, ni kweli kwani kila post unayoweka hapa JF baada tu ya hapo unabisha hodi pale kwa Mwigulu Nchemba na kukukabidhi kitita kama mshindi wa shindano la Vodacom M-PESA! Hata kwenye hii thread kufikia jioni utakuwa una $ 2,000! Hivi kumbe na nyie wenye Magamba a.k.a Chama cha Majambazi mmetelekeza madafu sasa mnalipana kwa dola? Duh, mmeendelea.....??????!!!!!!!!! Hongereni sana!Kama hivyo mbona ni kidogo sana? hata dollar 200 kwa siku haifiki. Mie kama malipo ni hayo ningejitowa kwenye kamati, kazi zangu zinaniingizia zaidi ya hizo kwa saa 1.
Source muandaaji wa malipo.
Jamani watu wanapopewa madaraka katika serikali yetu huwa kuna kamsemo "KAULA" sasa ndo nazidi kupata picha ya kauli hiyo.
Je ni watanzania wangapi wanaweza kuamini kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 300,000/= kwa siku katika shughuri zao toka waapishwe?
Najua sio rahisi kuamini lakini ndo ukweli wa mambo.
Na mtoa taarifa kadai kwanza tume hii haikuwa kwenye bajeti na imechangia kukwamisha baadhi ya miradi na huduma kwa jamii kwa sababu lazima walipwe na watimiziwe wanayotaka.
My concern;
Sasa kama wanafunzi wanakosa mikopo na wafanyakazi wanakosa mishahara kwa wakati kwa manufaa ya wachache tunaenda wapi????
ww mtoa mada acha
kuwadanganya watu wenye akili zao,apo kwenye 300,000 mi sjui lakini
Wamenunuliwa magari 60 sio kweli,we sema una yako ya kunyimwa boom,
jipange upya apo tunekushtukia.
Kazi gani hizo mkuu? Zile za uongozi wa wilayani? Maana huko watu wanatafuna bwana
Only in Tanzania ambako mtu anaweza kubisha kitu asichokijuwa!!.....interesting.