Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

BIL40.JPG
Source:Nipashe

Kwa mwaka kila mjumbe kupokea mil300,That means kwa mwezi wanakunja mil25,Aisee Tanzania inatafunwa
 
Mbona per diem ya serikali inajulikana, hivi viwango vya kifisadi vimetoka wapi? Haya majintu hayana huruma na watanzania yatakusaje maoni. Huu si ubepari huu.
 
Nilisema hapa siku moja baadhi ya wachangiaji wakasema ni umbea
 
wacha tu watafune bil 40,maana thamani ya katiba watakayotuletea na umuhimu wake kwa nchi hii ni zaidi ya hiyo pesa!
 
Mlidhani hiyo katiba mpya mnayoitaka itanyesha kama mvua? Tatizo watu huwa mnapenda ushabiki wa kisengerema.
 
watumie basi pesa yote hiyo pouawa tu na msingi watujie na katiba safi ambayo inajali makundi yote ya jamii na ambayo itakaa hata miaka 500 bila marekebisho sio watumbue pesa hiyo yote halafu watuletee huu utumbo unaopendekezwa na ccm eti watu wasijadili muungano, sijui tume ya uchaguzi isiguswe., sijui madarka ya urais yasiguswe! hatutaki ujinga huu kabisa!!
 
Another Silly Season! Aliyeunda tume ya katiba ni kiongozi dhaifu, so kila kitu itakuwa dhaifu! Kazi dhaifu ujira wa kutisha! Bora liende
 
Cha muhumu watuletee katiba yenye viwango itakayotupeleka 50yrs mbele.Hicho kiasi mbona hata ccm wanakitumia kwenye mkutano mmoja.
 
nyie si mnataka katiba, sasa mnataka watumie usafiri wa bodaboda kuwafikia mliko? hizi ndizo gharama za demokrasia
 
Watz wangine wangese kweli, walishawishiwa kuhusu katiba wakaja juu kama moto wa kifuu! Tume imeundwa ss wanahoji pesa wanazolipwa tume, nyinyi ni watu wa aina gani? Haya waambieni walimu wenu waliopo kwenye tume wajitoe km wazalendo kweli.
 
hapo maoni tu! bado bunge la katiba! watoto wataketi chini mpaka wakome! si wenu lakini wa wenzenu hawana problem!
 
tunapohoji tunastuka kuwa pesa huwa zipo vikitokea vitu kama hivyo,vya ulaji! lakini za madawati huwa hamna! hilo ndio tunaloshangaa!!!!!
 
Kwakweli JF leo nimekatishwa tamaa na uchangiaji wa mada hii sijapata kuona. Hili ni swala nyeti. Mtoa hoja yupo shallow japo anasema chanzo ni mlipaji na wachangiaji wengi wanashabikia badala ya kuchambua. . Mlipaji angechomoa payment slip ingeonesha ni malipo ya aina gani. Vinginevyo haya ni majungu ya hisia za kiulaji ulaji tu. Mtoa mada hatuelezi hiyo 300,000 ameipataje? Je hawalipwi mishahara ? Wanasaign kila siku honoraria ya 300,000? Naamini asilimia kubwa humu JF watu walishalipwa na serikali kama wafanyakazi au washauri welekezi, kwahiyo wanajua utaratibu wa kulipa. Tuwe serious tafadhali. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa sasa Judge Warioba, Dr. Salim na Mzee Butiko hatimaye na wao wamekubali kuwa bidhaa na kwenda sokoni na kwasasa bei yao inajulikana incase unataka kuwanunua.
 
Yan huyu jk sijui ana matatizo gani? Kumbe mshahara kima cha chini 350,000 per month inawezekana kabisa, na huo ni ushahidi mwingine kuwa jk ni dhaifu,

tuna jua swala la katiba ni muhimu sana, lakini malipo ya watu yanatakiwa ya endane na hali ya uchumi ya nchi husika.

Ni upuuzi mwingine wa serikali ya jk.

Basi hata madaktari waongezewe posho maana nchi inaonekana kuwa na pesa ya kutosha.

"Udhaifu wa jk ni udhaifu wa serikali"
 
Another Silly Season! Aliyeunda tume ya katiba ni kiongozi dhaifu, so kila kitu itakuwa dhaifu! Kazi dhaifu ujira wa kutisha! Bora liende


Mungi

Inategemea umesimsma wapi unapojadli mada. Tanzania ni nchi tajiri lakini viongozi wanahubiri umaskini na wengi mmeuvaa huo mkenge!

Kama kweli wamenunua mashangingi au standard Landcruiser or Ford 60 sishangai akiajiri watu 71 . Asilimia 90% watakuwa ni madereva huwezi tangaza nafasi za kazi! Wataomba zaidi ya elfu 6000 itakuwa imekula kwa aliyetangaza.

Kuhusu allowance ya 300,000/= kwa siku that is a peanut. Kwa kuwa sasa tunatumia USD Dola za kimarekani ni sawa na Dola 200 kwa siku. Kuna watu wanalipwa Dola 400 kwa siku. Kama tume haina mishahara kwa hiyo ni kufikiria kimasikini ukiona laki 3 kwa siku ni pesa nyingi. Let us make progress tuondoe matongotongo.

JF ifike mahali tutoe questionare na Kila member ajibu then uanachama uwe na qualification as it is it's a mixed grill na ndio
maana michango mingi ni vituko. There must be controls even the minimum volume should be set. Miaka ya nyuma nilwahi kusema watu walipie uanachama of course I had another name ila mods twende na wakati!?
 
Back
Top Bottom