Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany)
Kwanini usipendekeze watu wa mbinguni?
 
Mmarekani akisimamia uchaguzi kwa mfumo wa kisasa unaotumia teknolojia ya AI wa kisasa toka Marekani na Ulaya, hapatakuwa na malalamiko. Patakuwa na app ya ai ya uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge na urais matokeo yawe live kwenye app, malalamiko ya vurugu zitatoka wapi?
Hili jambo niliwaeleza viongozi wa juu wa CUF baada ya uchaguzi wa mwanzo wa
vyama vingi 1996 nilimueleza Maalum na viongozi wenzake Kwa wasikubali kushiriki katika uchaguzi wowote bila ya kuwepo tume ya kimataifa na katika tume hiyo asiweko mtu yeyote kutoka Afrika , kama vyama vyote vikubwa vya upinzani wangeweka mkakati huo tokea miaka hiyo Tanganyika na Zanzibar zingekombolewa kutoka katika makucha ya CCM
 
Back
Top Bottom