Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa darasa ambalo limekuwa funzo kwa Tume na kwa wagombea wengine. Hii ni dhahili tosha kwamba huyu jamaa (Lissu) ni mpango wa Mungu na hajadhulika hata chembe kutokana na madhara ya risasi 16.
Funzo: Kama Tume wanashindwa kutafsiri hizi kanuni ndogo ndogo nani ataamini kuwa waliwatendea haki wale wagombea woote walioengeuliwa?
Funzo: Kama Tume wanashindwa kutafsiri hizi kanuni ndogo ndogo nani ataamini kuwa waliwatendea haki wale wagombea woote walioengeuliwa?