Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi (NEC): Tundu Lissu amepelekewa barua ya kuitwa na Kamati ya Maadili

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa darasa ambalo limekuwa funzo kwa Tume na kwa wagombea wengine. Hii ni dhahili tosha kwamba huyu jamaa (Lissu) ni mpango wa Mungu na hajadhulika hata chembe kutokana na madhara ya risasi 16.

Funzo: Kama Tume wanashindwa kutafsiri hizi kanuni ndogo ndogo nani ataamini kuwa waliwatendea haki wale wagombea woote walioengeuliwa?
 
1601390062575.jpeg

John alitaka nafasi ya kuruka peke yake.
 
Hawa majaji hata kiingereza chenyewe ni shida
Nimesikitishwa saana na huu udhaifu wa TUME hasa katika hili. Pengine naanza kuamini baadhi ya kauli za watu kwamba kuna watu pale TUME wanatumika na hii inapelekea kukurupuka na kufanya maamuzi bila kushirikishana na baadhi ya viongozi wa tume (wasafi)..Haiingii akilini kwamba Jaji Kaijage(one of the best Learned brothers) tuliobaki nao nchini akurupuke kufanya yale maamuzi ya kipumbavu.Ni basi tu Tindu Lissu angeweza kukaa kimya asiseme chochote ila najua impact ingekuwa mbaya kwake na chama chake ( kwa sheria zetu za kipuuzi)
 
Aibu tupu!

Ni wazi kuwa hata Magufuli alistahili kuenguliwa kwa makosa aliyoyafanya katika kujaza form za uteuzi, makosa yaliyosababishwa na maelekezo potufu ya Tume.
 
Sheria wametunga wao hata kutafsiri hawawezi,watanyooka tu

Kuhusu Lissu nadhani hawamjui vizuri mtu wanaye deal nae,au wamejitoa ufahamu,wawaulize maspika wa bunge,maraisi waliopita,Mahakama,Polisi etc
Hizo taasisi zimepata shida sana kwa kujaribu kupimana ubavu na Lissu

Na amesema barua inatakiwa imfikie yeye sio kupelekwa makao makuu,wachukue tu Bodaboda kama jana wamuwaishie Hai
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Sheria wametunga wao hata kutafsiri hawawezi,watanyooka tu

Kuhusu Lissu nadhani hawamjui vizuri mtu wanaye deal nae,au wamejitoa ufahamu,wawaulize maspika wa bunge,maraisi waliopita,Mahakama,Polisi etc
Hizo taasisi zimepata shida sana kwa kujaribu kupimana ubavu na Lissu

Na amesema barua inatakiwa imfikie yeye sio kupelekwa makao makuu,wachukue tu Bodaboda kama jana wamuwaishie Hai
Mwamba wa Singida huyo!!
 
Aibu tupu!

Ni wazi kuwa hata Magufuli alistahili kuenguliwa kwa makosa aliyoyafanya katika kujaza form za uteuzi, makosa yaliyosababishwa na maelekezo potufu ya Tume.
Jiandae kisaikolojia utakapojua ukweli wa huyo unayemshabikia ni hatari sana kuliko nyoka swila.

Isipokuwa uwe na amani kuwa nchi iko kwenye ulinzi wa uhakika. Kama tuliweza kushinda korona, ambayo hadi sasa inatetemesha nchi tajiri, itakuwa ya kibaraka wa mabepari!

Ameandaliwa kuanzisha vurugu tarehe 23/10/2020 wakati yeye tayari amepanga kujiondoa kwenye kinyang'anyilo tarehe 21/10/2020 na kusepa. Ila hiyo mipango imefeli, atafute jinsi nyingine
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom