Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Sijawahi kuona comment ya kijinga kama hii yako. Unajua maana ya CPA au umeamua tu kubishana kama mwendawazimu?

Dame Acha ujinga.

Tuambie wapi CPA ni title same as Dr. Kama wewe hujui maana take shauri yako. Akina Mengi (RIP) na Mkono (RIP) walikuwa watu wa mwanzo kuzipata hizo. Hukuwaona wanazitumia kama title till hiki kizazi chenu cha kutaka kujionyesha.
 
Wamepambania wakati hii ni moja ya dying profession, accounts kwa sasa haihitaji mtu wa cpa kuandaa taarifa, ni kazi ya dk 5 tu inafanyika..ni mbwembwe tu hazina maana yoyote, wala thamani ya maarifa si title!
Nieleze namna accounting software(QuickBooks,tally,Manager etc) yenyewe inavyoweza kufanya accounting adjustments.
 
Dame Acha ujinga.

Tuambie wapi CPA ni title same as Dr. Kama wewe hujui maana take shauri yako. Akina Mengi (RIP) na Mkono (RIP) walikuwa watu wa mwanzo kuzipata hizo. Hukuwaona wanazitumia kama title till hiki kizazi chenu cha kutaka kujionyesha.
Lkn Mengi huyo huyo alitunukiwa PH.d ya heshima na akawa anajiita Dr. Reginald Mengi.
 
Kwahiyo kama kina Mengi hawakutumia ndo wengine wasitumie? PUMBAVU SANA. Acheni wivu wa kishenzi. Hujakatazwa na wewe kufanya mitihani ya NBAA upate CPA

No wonder zinatembea mtaani. Ndiyo design zako.... No wonder hata wajinga ujinga kama wewe wanazo.

Mimi siihitaji hiyo title fake, tayari nina title inayotambulika duniani. Nikipenda mahali siihitaji kuelezea maana ya title yangu.
 
Nenda Marekani au UK, haya mavyeo mbele ya majina ni kwa watu kama medical doctors, Dentists na Veterinary Doctors.Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi)

Elimu ya vyeti ingeanzia huku, kila taaluma ingekuwa unatoa vyeti na watu wote wangeamua kuweka titles za walichosomea.
Kule utamtambia nani... Watu wengi hawajui kuwa Bill Clinton na Obama wote ni ma-Profesa
 
Ni majina kama majina mengine.

Mfano kama SIMBA SC sasa hivi inaitwa Nguruwe SC ama Kitimoto SC
IMG-20240414-WA0021.jpg
 
Lkn Mengi huyo huyo alitunukiwa PH.d ya heshima na akawa anajiita Dr. Reginald Mengi.

Alijua tofauti. Ndiyo maana hawakujiita CPA lakini wakajiita Dr.

Watu wanashindwa kujiuliza tu kitu kidogo, hivi kwa nini ukiangalia news BBC, CNN etc huwezi kukutana hizo title zikitumika!? Hivi wenye hizo title hawahojiwi kwenye international media...!?
 
Wakijiita CPA mbele ya majina yao wanavunja sheria gani?
 
Tume ya Madini, mkiandikwa na kupewa machungu yenu humu Jf ,Huwa mnaziba masikio yenu na kufunga macho, mkijifanya hasikii na hamuelewi.

Fanyieni Uzi huu kazi na mtambue kuwa , Katibu mkuu Ofisi ya Rais utumishi yumo Jf, anawaangalia tu.

Atachukua hatua!
Wewe jamaa mzima kweli? Kwa hiyo hata comments za watu husomi kuelewa wanasema nini
 
Back
Top Bottom