Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Kwamba Diploma Ikae mwanzo mwa jina?
Kuna Vitu unatakiwa kujua Kuna Qualification na Proffesionalism..

Kwa mfano Engeneer Ni Proffesional Ila Qualification yake ni Aitha civil au masomo mengine yanayoHusu engeneer..

Preffix haitambulishi Qualification Bali inatambulisha Proffesionalism..

Kumbuka Mwanasheria Hawezi kuitwa Advocate mpaka awe ni Amesoma Law school..

So proffesionalism ndo hutambulishwa na Eidha Preffix ama surffix..

Kwa Mfano Huwezi Kuandika MMED (Paed) Mambo jambo..

Hii Ni qualification..

Ila utaandika Kama proffesional..

Mambo jambo,MMED,MD (Kwa mfumo wa Marekani)

Ila kwa Mfumo wa Bristish Utaandika Dr Mambo Jambo
Umeeleza vizuri ila huo upuuzi wote mnaufanya watanzania hata leo mnaweza mkadai ualimu uwe professional. Tuanze TC JUMA LUKINDO au mkemia Chem RAJABU HARMONIZE. Eti Pharmacity NASIBU OMARY.

Ni upuuzi tu leo typo na CPA hata jina halina kionjo.
 
Hili Nimeliezea Kwa Marekani Mfumo wa kitaaluma Utatambisha Taaluma yako mwishoni mwa Jina lako..
Ila kwa Ulaya Unaandika Preffix..
Kwa Mfano "Mambo jambo, MD.MMED (paed), Neo.."

Ila kwa Bristish only "Dr Mambo jambo.."

Kwa Marekani Proffesor its Just Job attainment..
Yaani mwalimu Wa chuo..

Sasa mwalimu wa chuo.Huwezi ukawa unamuita Mwalimu hata Nje ya Chuo..

Na ndo maana Unaweza kukuta mwalimu wa Chuo ambaye ni Daktari Pia..na wakati huo huo labda alisoma Engeneer utamuitaje..

Proffesor Engeneer Dr Mambo jambo? 🤣🤣..

Amercan has Distntive way of Naming things
President Richard Nixon na President Gerard R. Ford walikuwa wanasheria. Kwenye utambulisho huwa waandikwa na LLB au J.D mwishoni kama ambavyo Diploma holder wa nchi moja anavyoitwa Dr. na kapewa mkononi?
 
Mkuu, mfano wa kutunga...!?

Leta mfano halisi. Wapi zaidi ya Tanzania wanatumika CPA....!!?

Tukianzia tu EA, hakuna, SADC pia, hakuna, West Africa nina uhakika na Ghana na Nigeria hakuna huo upuuzi.

Huwezi kuwa na title ambayo inatambuliwa nchi moja tu.

Hawa ni Member wa National Association of State Boards of Accountancy (NASBA)..
Iliyopo Marekani wote ni CPA..na ni waajiriwa

Sijui kama unaswali Jingine

Screenshot_20240416_232454_Chrome.jpg
 
President Richard Nixon na President Gerard R. Ford walikuwa wanasheria. Kwenye utambulisho huwa waandikwa na LLB au J.D mwishoni kama ambavyo Diploma holder wa nchi moja anavyoitwa Dr. na kapewa mkononi?
Hili nimelijibu Mkuu..
Law Ni Qualification ila Advocate ni Proffesionalism..
So ukisoma sheria Huwezj kujitambulisha na preffix yyte..

HApo kwenye Kumsema mwenye Diploma Sipo maana hapendi kusemwa 🤣🤣
 
Hawa ni Member wa National Association of State Boards of Accountancy (NASBA)..
Iliyopo Marekani wote ni CPA..na ni waajiriwa

Sijui kama unaswali Jingine

View attachment 2965797

Wewe ndiye huelewi, kuandika CPA mwisho ni sawa. Siyo mwanzo.

Kitu ambacho huelewi nikuwa Ukiandika mwanzo inamaanisha title wakati Ukiandika mwisho inaonyesha qualifications.

Hatukatai mtu kuandika CPA, tunachopinga ni kuandika kama Title.
 
Tofauti ya title na qualification ni ipi. Tupe elimu mkuu.
 
Wewe ndiye huelewi, kuandika CPA mwisho ni sawa. Siyo mwanzo.

Kitu ambacho huelewi nikuwa Ukiandika mwanzo inamaanisha title wakati Ukiandika mwisho inaonyesha qualifications.

Hatukatai mtu kuandika CPA, tunachopinga ni kuandika kama Title.
Hili nimeshaljibu na pengine wewe ndo hukunielewa.na ndo maana Nilikutuma kwanza ukasome nilichoandika kwenye Post namba 10 na post zingine pia zilizofuata
 
Wakati mwingine uliza kwanza watu wa karibu yako badala ya kujidhalilisha hapa JF. Huu uzi umedhihirisha jinsi ulivyo tutusa. Na nyie mnaobeza CPA nendeni mkazinunue kama zinauzwa. Sio kitu kirahisi mtu kufikia hiyo level. Acheni majungu na roho mbaya.
Kitu chakutambulika nchi moja hata kenya hapo tu haijui
 
Hili nimeshaljibu na pengine wewe ndo hukunielewa.na ndo maana Nilikutuma kwanza ukasome nilichoandika kwenye Post namba 10 na post zingine pia zilizofuata

Nimesoma ndio maana nimekujibu hivyo. Acheni kutunga title zenu. Kama wewe siyo Dr. au Prof title yako ni Mr, Mrs au Ms period. Ukienda nchi nyingine na kujitambulisha CPA sijui Makalla hakuna atakayekuelewa sana sana watafikiri ni initials zako tu.
 
Hili nimelijibu Mkuu..
Law Ni Qualification ila Advocate ni Proffesionalism..
So ukisoma sheria Huwezj kujitambulisha na preffix yyte..

HApo kwenye Kumsema mwenye Diploma Sipo maana hapendi kusemwa 🤣🤣
Hapohapo Marekani walikuwepo majenerali zaidi ya watano ambao walikuwa marais. Hata General Dwight Eisenhower alitoka kuongoza Allied Forces WW2 akawa Rais. Na wote hao hakuna aliyekuwa anaitwa President General XXX
 
Hata sisi walimu tunaitwa Mwl. JK Nyerere, Mwl. Mimi hapa, Mwl. Mpwayungu. Etc

Kwahiyo na wao CPA (T) waache watambe, kupata CPA si mchezo jameni. Tena ma Eng. waacheni jamani watumie Eng.Ze dudu, madaktari kama Dr.Mambo Jambo.

Mi naona zisizo na umuhimu kutajwa tajwa ni zile honorary.
 
Hapohapo Marekani walikuwepo majenerali zaidi ya watano ambao walikuwa marais. Hata General Dwight Eisenhower alitoka kuongoza Allied Forces WW2 akawa Rais. Na wote hao hakuna aliyekuwa anaitwa President General XXX
UKishakuwa Rais Weww Tayari Ni CIC..
Sasa Unataka Cheo cha General cha Nini?
Idd Amini alikuwa General ila umewahi kuona akiandikwa General?

Kikwete alikuwa luteni kanali Umeona akiitwa Hivyo?
Kuna vyeo.Huisha ukitoka kwenye Kada husika (Ukivunja mkataba)
 
Wakati mwingine uliza kwanza watu wa karibu yako badala ya kujidhalilisha hapa JF. Huu uzi umedhihirisha jinsi ulivyo tutusa. Na nyie mnaobeza CPA nendeni mkazinunue kama zinauzwa. Sio kitu kirahisi mtu kufikia hiyo level. Acheni majungu na roho mbaya.
Nimgundua wengi wana wivu na wahasibu wenye wenye CPA sijui kwanini?
Tuwapongeze jamani badala ya kuwakatisha Tamaa🤣
 
Back
Top Bottom