MwakalingaMtoa mada (Mtei) ana habari kuwa hao waisilamu walio wengi wamepta elimu wakiwa shule zenye misingi ya kikristo ama shule za mchanganyiko wakristo na waislamu!. Muisilamu ama mkristo huwezi mtambua kwa jina ,tupo wengi sana tz wenye majina tofauti na dini zetu. Ni dhahiri waafrika tulio wengi ambao wamepata elimu dunia suala la udini halina nafasi kama alivyoonyesha mtoa mada (Mtei).
Mkuu utakuwa umekosea jukwaa?Maybe ulidhani MMU?uwivu wa kijinga
Paulss, sasa unatakiwa uamini kuwa ameandika hivyo na ujadili kwanini amepotoka.Namuheshimu sana sana mzee Mtei lakini katika hili amepotaka sana..........................
wamekuwa wakipigana kwa nguvu zote kuwaaminisha wananchi na wapiga kura wao wasikiangalie chama kwa mtazamo wa kidini na kikanda bali kwa sera zao
Lakini leo Mtei anakuja kutuaminisha tuiangalie Tume hii kwa jicho la kikanda(visiwani na bara) na kidini badala ya wajibu wake.........
Siamini wala sitaki kuamini kama kweli Mtei ameandika hivyo
Paulss, sasa unatakiwa uamini kuwa ameandika hivyo na ujadili kwanini amepotoka.
Mfano wako wa CHADEMA na katiba ya Tanzania wapi na wapi, ama wewe ni kati ya wale wenye kushindwa kutofautisha kati ya maslahi ya chama na yale ya Taifa?
Atakuwa amefanya jambo moja la mbolea sana kuja kuwatoa watu madukuduku yao kuliko kukaa kimyaMzee Mtei tunakuomba mzee wetu rudi kwenye thread yako kuna mambo ya msingi tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.
Mkuu wanaokemewa kuwa waache kulia lia si ndiyo wanaosema kuwa kuna wakristo wengi kwenye tume?Sasa kusema kwamba si kweli bali wengi ni waislam kosa liko wapi?Kamanda udini ni udini tu, hautakiwi kwenye ngazi ya vyama hadi kitaifa.......... ndio maana yangu mkuu
Kumbuka vilio vya Waislam Tanzania wanaodai wakristo wanapendelewa na tunavyo wakemea kila kukicha waache kulia lia,
Leo Mtei anafanya nini?
Mtei hakuangalia mwisho wa uchaguzi 2015 kama unavyoangalia wewe kaangalia zaidi ya hapo. Kasema kama mtanzania yeyote wala si kama Chadema na hakusema kwa kuogopa eti Chadema kitanyimwa kura. Hatuwezi kuendelea kuishi kwa woga, kuogopa ukisema ukweli unaweza kukosa kitu fulani, lazima tuwe jasiri hata kama ukweli utauma au utatuumiza.Namuheshimu sana sana mzee Mtei lakini katika hili amepotaka sana..........................
Ninachoweza kusema kwa sasa ni kwamba hili ni pigo lingine kwa chadema kwenye kusaka kura za uraisi
Nipigo kusaka kura za waislam ambao sasa watadhihirishiwa wazi kuwa CDM ipo against nao
Mtei na CDM wanaju vizuri ni kwanamnagani wamekuwa wakipigana kwa nguvu zote kuwaaminisha wananchi na wapiga kura wao wasikiangalie chama kwa mtazamo wa kidini na kikanda bali kwa sera zao
Lakini leo Mtei anakuja kutuaminisha tuiangalie Tume hii kwa jicho la kikanda(visiwani na bara) na kidini badala ya wajibu wake.........
Siamini wala sitaki kuamini kama kweli Mtei ameandika hivyo na kama kweli ameandika basi natumaini wakati huu atakuwa anajutia alichoandika na pengine ndio maana ameshindwa kurudi walau kujibu hoja hata moja
Ukweli ndio huo, mkatae mkubali yeye ndio keshamaliza.Atakuwa amefanya jambo moja la mbolea sana kuja kuwatoa watu madukuduku yao kuliko kukaa kimya
Mkuu wanaokemewa kuwa waache kulia lia si ndiyo wanaosema kuwa kuna wakristo wengi kwenye tume?Sasa kusema kwamba si kweli bali wengi ni waislam kosa liko wapi?
Issue hapa ni kuutumia muda huu kufutulia mbali ujinga tulionao, ona sasa jinsi hao "wanaokemewa" waache udini jinsi walivyobadilika na kuitetea tume kwa upande wa "mtizamo wa kitanzania" na hapo hapo wakiiponda kwa kutumia "mtizamo wa kitanganyika"
Ukitaka definition ya double standards kama ulikuwa huijui, then just follow this case.
Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania siyo nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.
Kamanda udini ni udini tu, hautakiwi kwenye ngazi ya vyama hadi kitaifa.......... ndio maana yangu mkuu
Kumbuka vilio vya Waislam Tanzania wanaodai wakristo wanapendelewa na tunavyo wakemea kila kukicha waache kulia lia,
Leo Mtei anafanya nini?
Siyo lazima aseme anawajibu, busara huwa zinatake different routes, Mzee ameamuwa kutake "a beating", akijuwa matokeo yake mwishowe ni kwa manufaa yetu na si vinginevyo.Mkuu two wrong cant make it right, kama kuna wapuuzi wanaangali kila kitu kwa jicho la kidini kwanini na wewe ufanye hvyo?
BTW Mtei hakuwa anamjibu mtu ametoa maoni yake kuwa ni kichekesho kuwa na wajumbe sawa na pia kuwa na waislam wengi
UKWELI?..........ukweli upi mkuu unaouzungumzia wewe hapaMtei hakuangalia mwisho wa uchaguzi 2015 kama unavyoangalia wewe kaangalia zaidi ya hapo. Kasema kama mtanzania yeyote wala si kama Chadema na hakusema kwa kuogopa eti Chadema kitanyimwa kura. Hatuwezi kuendelea kuishi kwa woga, kuogopa ukisema ukweli unaweza kukosa kitu fulani, lazima tuwe jasiri hata kama ukweli utauma au utatuumiza.
Siyo lazima aseme anawajibu, busara huwa zinatake different routes, Mzee ameamuwa kutake "a beating", akijuwa matokeo yake mwishowe ni kwa manufaa yetu na si vinginevyo.
Umejuaje kama tunaepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa kufuata mkondo huu wa kujadili hili bila woga wa kusema utaitwa hiv ama vile?
Kwani yeye anataka kuwe na wakristo wengi zaidi ya waislam?Ndivyo ulivyomwelewa wewe?
Kama ndivyo anavyomaanisha, yani anataka kuwepo na wakristo wengi zaidi ya waislam, then hilo hata mimi siafiki.
Lakini kama anataka kuwepo na uwiano ambao utatuondolea hisia flani flani miongoni mwa wananchi, then ndivyo nilivyomwelewa na i am in for it.
Mfano wako wa "two wrongs dont make one right" haumake any sense, only kama utanihakikishia kuwa Mzee Mtei anataka wakristo wengi kuliko waislam kwenye tume ya katiba.
John Mnyika msemaji rasmi wa Chadema ameanzisha thread leo hapa JF akifafanuwa kwamba haya ni maoni binafsi ya Mzee Mtei, kamati maalum iliyokwenda ikulu kuonana na Rais JK bado wanafanya uchambuzi wao na watatoa kauli yao.UKWELI?..........ukweli upi mkuu unaouzungumzia wewe hapa
Haya ni maoni yake tu mkuu, na hapa tunazungumzia impact ya maoni yake katika jamii kutokana na influence yake
Japo siafikiani na mawazo ya Mtei kwenye hili ila ana point. Na kama tukimbeza mzee Mtei na kutaka kuanza kucheza siasa kwa malengo kumalizana kivyama, Ni wazi kuwa zitakazoumia ni Nyasi (mchakato wa kupata katiba bora). Kama ambavyo JK aliwahi kusema wakati wa kampeni kuwa nchi sasa inaanza kuchagua watu kwa kuangalia dini, basi Mtei nae ana haki ya kuongea alichoongea. Sitaki kusema kuwa password yake imekuwa hacked na si yeye ila naandika nikiwa naamini kuwa mwanzilishi wa thread ni mzee Mtei.
Anachoongea Mtei hadharani ni ambacho watu wengi wanakiongelea faragha. Mchakato huu umepelekwa kibabe bila ya kuwa na national concesus ya jinsi ya kuufanya kwa kuwa tu chama fulani kinajiona kina hati miliki. Hivi kwa mfano katika kuunda tume JK angepewa nafasi ya mwisho tu katika mchakato mzima yaani kutia saini ama kukataa ila pia kama 75% ya tume wakikubali anakuwa over ruled na mambo mengine yote yafanywe kwa kutunga sheria nzuri ya mchakato angekosa nini?. Mfano sheria ingetaja wazi makundi yote ya jamii yaliyo Tanzania kushiriki katika tume na idadi yao na Rais awe mratibu yaani apokee majina yote toka sehemu zote na kuyatangaza angekosa nini?
Mfano sheria ingesema Tume iwe na idadi ya wajumbe watakaotokana na makundi haya
- Serikali ya muungano wajumbe 5
- Serikali ya mapinduzi wajumbe 5
- Madhehebu yote ya kiislam wajumbe 3
- Madhehebu yote ya kikristo wajumbe 3
- Wasikuwa na imani ya dini hizo mbili hapo juu wajumbe 3
- Wakulima wajumbe 3
- Wafanyakazi wajumbe 3
- Wafanya biashara wajumbe 3
- Vyama vya siasa vyenye wabunge wajumbe 3 kila chama bila kujali idadi yao
- Walemavu wajumbe watatu 3
- Wasomi wajumbe 3
Pia katika sheria iweke minimum qualification ya wajumbe ni at least first degree, na kuwataka vikundi husika wawakilishe majina matatu kwa Rais ambayo yatakuwa vetted na kuangaliwa kama wamekidhi sifa za kwenye sheria na kama hawajakidhi basi majina yatakatwa na hakuna replacement. Tungeepusha manung'uniko kama haya ya Mzee Mtei. Huu mchakato tusipokuwa makini utakuwa ni igizo tu na Katiba kamili itapatikana baadae watanzania watakapokuwa na utashi wao.