rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,442
Kwa ujinga wa kuongelea shanga live,bora niwe shetani.rallphryder ni zaidi ya Shetani
Kwa ujinga wa kuongelea shanga live,bora niwe shetani.rallphryder ni zaidi ya Shetani
Na ile nyingine ya kuwaalika mabalozi na wawakilishi chakula cha jioni na kuishia mitini?hili la kuwanyima wananchi kufuatilia wabunge wao wafanyacho bungeni kumempunguzia maghufuli sifa kuu ya utawala bora....
ULIISHIA DARASA LA NGAPI?Wamewanyima mashabiki wa UKWAWA fursa ya kuona maigizo ya wasanii wao chini ya kamanda Mbowe
Halafu kuonyesha kuwa nyie ni ma zombie yaani maiti zinazotembea, kesho serikali ikitangaza kuwa ineamua matangazo yarudi kama awali mtageuka na kupongeza sana.Ili mkaongelee shanga sio? Hakuna cha live wala nini !
Hili jambo hata shetani haliungi mkono!
Ila linaungwa mkono na wabunge wa CCM na buku 7, unamaanisha hawa ni wabaya kuliko shetani?Hili jambo hata shetani haliungi mkono!
Huo ni udikteta katika nchi inayodai ina demokrasia. Kuburuzwa kuna mwishoKama suala la matamko tumeshayazoea na hayajawahi kuwa na impact yeyote maybe waje na njia nyingine ya kuwasihi viongozi waruhusu bunge liwe live
Kwani TV binafsi zimeomba kulipwa au unaongea ilimradi pumba zako zisikike?Tunabana matumizi haiwezekani tulipe gharama kubwa kwa kuzomea na toka ingia
Kwani umewekewa gundi uangalie bunge. Haya mawazo yanaonyesha wewe ni mbinafsi.maisha yalivyo magumu muda wa kusikiliza commedy ya BUNGE unapata wapi??ngoja mie nikamwagilie bustani yangu
Inaonyesha elimu ya uraia imekupitia kando.Kwa ujinga wa kuongelea shanga live,bora niwe shetani.
Kuna wababe ndugu yangu, wnajifanya wameziba masikio huku wanasikia. Hii kesi ya nyani ngedere hawezi kuamuaHaki hupatikana mahakamani. Kwa nini wasiende mahakamani kuishitaki serikali? Haya matamko mpaka lini?
Toka wabunge, vyombo vya habari kulalamika ni muda sasa!
Waipeleke serikali mahakamani kwani huko ndipo tafsiri na haki hutolewa.
Blabla ya nini?
Nendeni kwa niaba yetu.,
Asipomtumbua Nape, imani yangu kwake inapungua. Maana huyo jamaa ni hasara kwa maslahi ya taifa na maendeleo ya watanzania.Mi nnacho subiri ni, vurugu zoote hizo, na sarakas zote hzo
Ziwe kweli zna matokeo kwenye maisha ya wana nch wa kawaida
Huduma ziwe bora, ajira ziongezeke, elim iboreshwe, uchumi wa .wana nch wa hali ya chini ukue
Yaan apa magu namskilizia tuu, naendelea kumpa mda