Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Vitambi kwa wanawake sio jamani,ila wacha tu nisiseme sana,maana afadhali vile vya wastani,unakuta kingine kinashuka hapa kwa mbele kinafunika mpaka hapa kwenye nywele,dah,hatari sana...
 
Ukiwa na kitambi ila kule nyuma kukawa kumefura sio tatizo kabisa.

Tatizo ni pale mbele kumeumuka nyuma hamna kitu...ukitembea ni kama paka aliyesimamia miguu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Duuh...! “Paka aliyesimamia miguu”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na kitambi ila kule nyuma kukawa kumefura sio tatizo kabisa.

Tatizo ni pale mbele kumeumuka nyuma hamna kitu...ukitembea ni kama paka aliyesimamia miguu.
 
Nilitaka kunyimwa kazi sababu ya kitambi, baada ya mahojiano mdada aliyekua ananifanya usail aliniuliza hilo tumbo ni lako ama ni mjamzito
Daa nilijibu kinyonge eti tumbo hili ni la mwili😀😀

Kutoka hapo nilishinda njaa sana na kunywa maji ya mchaimchai baada ya miezi 2 tumbo liliisha na nilikata uzito kwa sana
Sa hivi nikiona mwili unaanza kuja tuu fasta naanza diet
 
Hongera...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom