Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Watu wa Dar hasa wanawake wa Dar ni wavivu sana.

Unakuta mtu anajifanya anafanya mazoezi kupunguza uzito, halafu akimaliza mazoezi anaagiza Chipsi Kuku !
Kuna mdada hapa mpaka huwa namhurumia yaani hata kula anakula kwa tabu. Mpaka atumie kijiko na avae Apron Kifuani Kwanza.

Tena wanawake wakibeba mimba ndio kabisaa, wanakuwa kama wanaumwa. Wanakaa tu mpaka wanavimba miguu.

Ndio maana Operation zimekuwa nyingi.
 
Kitambi cha kifuani hakina shida![emoji41][emoji41][emoji41]
instaprincesss_B7eXn8Lpb27.jpeg
 
Hahahaaaa🤣🤣🤣 kabisa
Ukiwa njian unakula...ukikuta mtu anakula ukakaribishwa unakula...jikoni unakula nusu ya unachopika... kazini kila muda mdomo haupumziki kama wa mbuzi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom