Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Tumbo ni adui mkubwa wa urembo wako

Daaah ni changamoto sana, nilikutana na dada mmoja nilikua na interest nae nakuja angalia tumbo ni kubwa kuliko wowowo/wezere aaaaghrrr nikala kona fastaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na kitambi ila kule nyuma kukawa kumefura sio tatizo kabisa.

Tatizo ni pale mbele kumeumuka nyuma hamna kitu...ukitembea ni kama paka aliyesimamia miguu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

am better here
 
Sijui ni mimi tu ila kitendo cha Mwanamke kuwa na kitambo hunifanya nisimtazame mara mbili, hata awe mrembo kiasi gani kwangu kitambi huniondolea mvuto wowote kwake.
View attachment 1327244
Mdada huna mimba lakini umebeba ki fridge, hii ni hatari sana. Hakuna nguo itakayo kupendeza zaidi ya dera.

Sasa umekutana na mkaka amekupenda kwakua mambo yako ya usafi wa nyumba, kupika na maongezi yako pia ameyapenda. Ameamua kukupeleka kwao, mama yake hana tumbo kabisa mama ana maintain figure.

Mama mkwe mtarajiwa baada ya kuona tumbo la mtarajiwa anajawana simanzi. Bibi utamaliza waganga mchawi ni hilo tumbo. Do something about it.

Hata vitabu vitakatifu vilihimiza kujitoa sadaka. Kujinyima kula hata mara mbili kwa wiki inasaidia sana. Pamoja na hayo wataalamu wanahimiza mlo kamili katika kipimo kidogo mara tatu kwa siku.

Bila kusahau mazoezi, imekuwa bibi wewe umenunua IST basi hata kwenda kusuka yeboyebo unapack IST kwa msusi.

Have a nice Sunday.

Don't hunt what you can't kill.
 
Sidhani km nisababu kula ovyo ovyo kunafanya mtu awe na kitambi .....wengine ni vya ukoo ndiyo mana wapo waliofura nyuma nawengine wamepigwa pasiii
Ukiwa njian unakula...ukikuta mtu anakula ukakaribishwa unakula...jikoni unakula nusu ya unachopika... kazini kila muda mdomo haupumziki kama wa mbuzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viriba tumbo ni hatari kwa afya.
d2a78aa2de10ad543a4874e207fca681--fat.jpeg
images%20(1).jpeg
download%20(1).jpeg
IMG_0930.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom