Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,959
- 828,674
June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana
1. CHADEMA: No reforms no election
2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm)
3: Gen-Z vs .....
4.chaumma.
5. Ongezea..
Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike!
Akili kichwani mwako..muda ni wako, simu ni yako, bundle ni lako.. Utachagua... Ma a na kupanga ni kuchagua...
Jiangalie usije ukachanganyikiwa pamoja nao... Maana bado wakihangaika na Gen-Z kaibuka Gwajima.. Sasa hawajui wamalize na yupi na waendelee na nani... Huko mtukano mkuu ndio huooo🤣