kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 538
- 942
Akili za kisukumaTatizo la kile chuo uongozi, bursar mwenye elimu ya kuungaunga kuwapelekesha na kuwadhulumu wahadhiri. Ma-DVC hawana mamlaka, umeona wapi hii? Bursar naambiwa anamilki akaunti zenye mamilioni ya US Dollars. Hapo chuo hakina hela? Huyo Bursar amepatia wapi hayo mamilioni ya USD Dollars? Lecturer kulipwa 1.5M ambapo kuna walimu wa shule za msingi wanauzidi huo mshahara ikekaaje? Kwangu mimi ni kudhalilisha vyuo vikuu nchini TZ. Yule VC amechoka alipanga mwanaye aliyeenda kusoma US Phd ya Law kuwa mrithi wake. Bahati mbaya au kwa mpango wa Mungu yule dogo akaenda kusomea Muziki. Ningekuwa kwenye uongozi wa KKKT ningependekeza uongozi wa kile chuo km ifuatavyo:
VC- Dr Nehemia Moshi
DVC(academic Affairs) - Dr. Rose Munisi
DVC(Administration) - Dr Laltaika
Bursar - aajiriwe mtu mwenye elimu ya uhakika na awe na cheti cha CPA au vinavyofanana na hivyo
OVER!
Sent using Jamii Forums mobile app