Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

Umeyasema baada ya kutimuliwa alafu unataka uonekane mzalendo
Unamfhamu? we inaonekana unafanya kazi hapo makumira, badala umwunge mkono kwa mnavyoteseka hapo we unatoka kihivi? we hata ukichomwa sindano sidhani km utaisikia. Namfahamu Bursar wa kile chuo ni billionaire ktk ya wahadhiri maskini na anawaendesha anavyotaka. Anamiliki account zenye USD Dollars CRDB Bank (sijui km anayalipia kodi) hataki madafu ya Magufuli ana kiburi hana mfano. Nawaonea huruma mnaofanya kazi hapo bora msingeenda shule. Ila naamini serikali ipo ht huku JF na ina mkono mrefu itachukua hatua hilo povu litakuishia
 
Wacha urongo, hata maandishi yako yanaonyesha kilicho nyuma ya mgongo wako. Aibu hii, umefanya utafiti wa uendeshaji wa vyuo vikuu binafsi tz?
we unachokitetea ni kt gani, we subiri km ni mhusika muda utaongea. Badala uchangie hoja na kutafuta ukweli unamjadili mtoa mada. Tulia utafute ukweli au unafurahia mateso ya wenzio? bullsheet!!!!
 
Kwa nini usipeleke taarifa yako vyombo husika kama unadhani itasaidia?

Bila shaka una chuki zako sasa unapambana kukichafua Chuo kama sehemu ya kisasi. Kwa nini usifuate njia zingine zakisheria kutafuta unachokitafuta badala ya kuweka JF utumbo huo?
Km kusma ukweli ni kuchafua basi ww zuzu. Kuambiwa kuwa umechafuka si kuchafuliwa we kilaza. Taasisi imejichafua yenyewe. Labda km we umeishauri ikwepe kodi za serikali diyo umeichafua
 
Km kusma ukweli ni kuchafua basi ww zuzu. Kuambiwa kuwa umechafuka si kuchafuliwa we kilaza. Taasisi imejichafua yenyewe. Labda km we umeishauri ikwepe kodi za serikali diyo umeichafua
Badala ya kumshambulia mtoa mada toa ufafanuzi au taarifa pinzani. Kumshambulia mtoa mada personnally ni udhaifu mkubwa, tunaita povu! Bila shaka una maslahi na hicho chuo!
 
😡 Asante Saigilomagema. Naamini haki itatendeka.
Haki ipi, kumpelekea msukuma pesa akanunue wabunge na madiwani na kufanya uchaguzi kila siku mwisho nchi inapata hasara zisizokuwa na vichwa wala miguu! Acheni wivu na wao watumie hapo walipopata!
 
Watanzania tukifukuzwa kazi tunazichukia taasisi.. wakati tunafanya kazi tunazisifia...

majungu ndio mtaji wetu watanzania..

usimuamini mtanzania hata kwa kumtania
 
Watanzania tukifukuzwa kazi tunazichukia taasisi.. wakati tunafanya kazi tunazisifia...

majungu ndio mtaji wetu watanzania..

usimuamini mtanzania hata kwa kumtania
we ni raia wa nchi gani? Unaweza kuta mtu hata hajawahi kufanya kazi mahali husika ila amepata taarifa kutoka vyanzo flaniflani akaona arushe hzo taarifa kwa maslahi mapana ya watanzania we unatoa tu hukumu mbele ya screen yako. acha uvivu na kutetea waovu
 
Tatizo la kile chuo uongozi, bursar mwenye elimu ya kuungaunga kuwapelekesha na kuwadhulumu wahadhiri. Ma-DVC hawana mamlaka, umeona wapi hii? Bursar naambiwa anamilki akaunti zenye mamilioni ya US Dollars. Hapo chuo hakina hela? Huyo Bursar amepatia wapi hayo mamilioni ya USD Dollars? Lecturer kulipwa 1.5M ambapo kuna walimu wa shule za msingi wanauzidi huo mshahara ikekaaje? Kwangu mimi ni kudhalilisha vyuo vikuu nchini TZ. Yule VC amechoka alipanga mwanaye aliyeenda kusoma US Phd ya Law kuwa mrithi wake. Bahati mbaya au kwa mpango wa Mungu yule dogo akaenda kusomea Muziki. Ningekuwa kwenye uongozi wa KKKT ningependekeza uongozi wa kile chuo km ifuatavyo:
VC- Dr Nehemia Moshi
DVC(academic Affairs) - Dr. Rose Munisi
DVC(Administration) - Dr Laltaika
Bursar - aajiriwe mtu mwenye elimu ya uhakika na awe na cheti cha CPA au vinavyofanana na hivyo

OVER!
 
Noted! Changes of the the leadership is so important. Mi nauliza hivi baba askofu mkuu wa KKKT Dr. Shoo anafahamu kuwa Bursar anamiliki akaunti zenye USD Dollars km inavyosemwa? Kama anafahamu, amefuatilia huyo Bursar alikopata hayo ma-USD Dollars? Yeye baba askofu anamilki akaunti kama hiyo?
Nimeambiwa yule bursar anaweza kumwajiri amtakaye hata bila kufuata utaratibu ikiwemo kutofanyiwa interview na anaweza kumfukuza asiyemtaka bila kufuata utaratibu. Ana mahaba ya kutisha na VC. Kwa mfano amemwajiri hawara yake na sasa hivi ndiyo mkuu wa kitengo cha IT bila kufanyiwa interview yoyote. DVC administration kuona hivyo alijaribu kulalamika kwa VC alichoambiwa ni kuwa na yeye ampeleke ndugu yake yoyote aajiriwe kwa njia hiyo hiyo na akafanye hivyo. Tunavyoongea yuko dada wa kihehe naye yuko idara ya IT. Ngoma inogile!
Kwa mujibu wa sheri ya ajira na uhusiano kazini huu ni ubaguzi wa hali ya juu. Yanayofanyika ndani ya hivi vyuo ni uhuni wa kutisha.
 
Tatizo la kile chuo uongozi, bursar mwenye elimu ya kuungaunga kuwapelekesha na kuwadhulumu wahadhiri. Ma-DVC hawana mamlaka, umeona wapi hii? Bursar naambiwa anamilki akaunti zenye mamilioni ya US Dollars. Hapo chuo hakina hela? Huyo Bursar amepatia wapi hayo mamilioni ya USD Dollars? Lecturer kulipwa 1.5M ambapo kuna walimu wa shule za msingi wanauzidi huo mshahara ikekaaje? Kwangu mimi ni kudhalilisha vyuo vikuu nchini TZ. Yule VC amechoka alipanga mwanaye aliyeenda kusoma US Phd ya Law kuwa mrithi wake. Bahati mbaya au kwa mpango wa Mungu yule dogo akaenda kusomea Muziki. Ningekuwa kwenye uongozi wa KKKT ningependekeza uongozi wa kile chuo km ifuatavyo:
VC- Dr Nehemia Moshi
DVC(academic Affairs) - Dr. Rose Munisi
DVC(Administration) - Dr Laltaika
Bursar - aajiriwe mtu mwenye elimu ya uhakika na awe na cheti cha CPA au vinavyofanana na hivyo

OVER!
Huu ushauri ungeutoa kabla ile nyongo haijapasukia tumboni ukaanzisha huu uzi ingekua Jambo jema kweli.

Umeanza kuleta hearsay news tayari..naona unasema "Umesikia" huo ndo unaitwa udaku. Na kwa jinsi unavyoandika saivi it seems kuna namna nafsi inakusuta
 
Si bure, huwezi kuwa mzalendo kiasi hiki... Kuna kitu umefanyiwa ndo maana umelipuka kiasi hiki!
 
Wamekufanya kitu kibaya sana Aisee.
Haya mapovu unayoyatoa humu yanaonesha maumivu makali ila ndio hivyo tena huna jinsi
 
Back
Top Bottom