Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

Israel ni taifa teule mkumbuke hilo,
Sisi Kama taifa tunahitaji kuwa na mahusiano mazuri na Taifa hili ataeilaani amelaniwa na atakaeibariki amebarikiwa ,

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Israel

Atakae libariki amelaaniwa,
Atakae lilaani amebarikiwa,

Mungu tuepushe na laana uliyowapa Israel.
 
1.Israel ndio waliotoa ushauri namna ya kuanzisha JKT na kuiendesha.
2.Israel walijenga hotel 77 Arusha.
3.Israel walijenga Kilimanjaro hotel kabla hajakabidhiwa mwarabu.

hasara ya kujiegemeza kwa waarabu.
Mlipuko wa mabomu ubalozi wa marekani ulisababisha watalii wengi kufuta safari zao kuja Tanzania.

Pointless.
 
PLEASE MY BROTHER CAN YOU SIT DOWN AND MEDITATE....THERE IS NO POLITICAL ON THIS PLANET WHICH IS NOT CONNECTED TO THE RELIGION...EVERYONE HAS SOMETHING TO BELIEVE AND FOR YOUR BENEFIT THE BIBLE IS THE FOUNDATION OF ALL GOOD THINGS UNDER THE SUN.SO THERE IS NO OPTION TO AVOID THE TRUTH WHICH IS FOUND IN THE BIBLE. IF YOU CURSE ISRAEL YOU ARE CURSED AND IF YOU BLESS THEM YOU ARE BLESSED...YOU WILL SEE A BIG DIFFERENT WHEN TANZANIA STARTS A NEW RELATIONSHIP WITH ISRAEL

Hao waisrael mnaowakumbatia ndio hao waliomsulubu Yesu na kumdhalilisha,
Halafu Waisrael sio Waikristo wale ni WAYAHUDI,
Sasa sielewi nyie waikristo kwanini mnapenda sana kujikomba kwa watu wasiowathamini.

Juzi juzi tu hapa, walivyowauwa waafrica waliohamia Israel,
Wakasema kua MUAFRICA NI KAMA KANSA, AKIINGIA LAZIMA ATOLEWE (AKATWE) HARAKA.

Nashangaa now mnatulazimisha eti tuwe karibu nae kwa kipi, tugundue lipi.
Acheni kujipendekeza kiboya.
 
tulivunja uhusiano na israel kwa sababu ya falsafa ya kutaka sifa na kujenga jina....
Interesting!
Tulitaka sifa kwa nani?
Kujenga jina kwa nani?
Kwa manufaa gani?
Mtu kama Mwalimu kwenye PRINCIPLES hayumbishwi na hayo.
 
Dini hizi wala si zetu, watu weusi. Utamkuta mtu mpk anamuua ndugu yake kwa dini ambayo hata haijui uasili wake. Israel ni taifa lenye maendeleo na taifa linalosonga mbele licha ya aina na pressure ya maisha wanayoishi. Waarabu wanatamani wawaue wote lkn wanasonga mbele tu, MUNGU WAO nadhani wa tofauti. Miafrika kila saa kuuana na kurithi taratibu za wengine wakichukiana kwa imani za waarabu na wazungu
 
Tanzania ilisaidiwa sana na Israel. Watanzania wasisahau kuwa University of Dar es Salaam ilijengwa na Israel. Yatazame majengo yale leo kayalinganishe na ya UDOM. Israel ni kati ya nchi chache sana Duniani zenye utaalam wa hali ya juu katika Kilimo cha Umwagiliaji. Israel ni nchi yenye watu wenye uzalendo wa hali ya juu, ilitaka kuifanya Tanzania kuwa nchi ya namna hiyo hiyo, na ndiyo maana kwa kuanza tu walianzisha JKT, na wakati huo kila kitu kilitoka Israel, kuanzia mavazi mpaka vyombo vya kulia chakula. Watu wasisahau kuwa ni Waisrael ndiyo waliopo kwenye High Technology Research Institutions za mataifa mengi makubwa ikiwemo Marekani.

Mimi siamini kabisa kuwa tunaweza kupata faida kwa kujitenga na Israel. Kurudisha uhusiano wa kibalozi, ushirikiano wa kiuchumi ni kati ya maamuzi sahihi kabisa yaliyofanywa na JPM. Na uhusiano huu uingie ndani kabisa badala ya kuwa wa kinadharia. Ningependa Waisrael watusaidie kubadilisha mfumo wa elimu yetu ili vijana wawe wabunifu na uzalendo. Watusaidie kulijenga JWTZ, Polisi na JKT. Waingie kwenye vyuo vikuu maana navyo vimeanza kuwa vya kisiasa badala ya kuwa taasisi imara za utafiti.

una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
 
Elimu ni ya muhimu sana, kweli Lowassa alijua hili. Watz wengi mnakremisha vitu.
 
Hizo hotel hawakujenga bure ..ni sawa na ukisema Daraja la Kigamboni kajenga mchina!!
Walikua ni contractors kama group six..period

JKT ma hata vijiji vya ujamaa walianzisha wao kweli na vyote vilikufa kwani walicho shauri kilikua ovu
Kudos!!
 
watanzania tulipo
On a visit to Africa in 1958,
Foreign Minister Golda Meir
pledged Israeli help to find
solutions for severe challenges in
food security, water safety and
sanitation, healthcare, economic
growth, community building, the
empowerment of women and
education.
In the years since then, the
Foreign Ministry’s MASHAV,
Israel’s Agency for International
Development Cooperation, has not
only kept that promise, with
myriad projects primarily in
Ethiopia, Ghana, Kenya, Rwanda,
Senegal, South Sudan and Uganda,
but private Israeli companies and
nonprofit organizations have also
pitched in.
As ISRAEL21c has reported,
companies and organizations of
all shapes and sizes have lent
their expertise and people-power
to improve life in Africa. To top
this off, Israeli agencies such as
IsraAID consistently send relief
teams to alleviate food and
medical emergencies in countries
including Kenya and South Sudan.
MASHAV Director of Policy
Planning Ilan Fluss tells
ISRAEL21c that as a small country
of only eight million people, Israel
can’t invest as much in African
aid as larger countries can.
However, measuring impact in
terms of results puts Israel in a
singularly impressive light. “We
are constantly making more
programs and more partnerships,”
he says.
Two new projects were announced
this year: Grand Challenges Israel
(GCI) and the Israeli-German
Africa Initiative.
GCI is part of a global program to
support technological and
innovative approaches to public
health and food security in
developing countries. Israeli
researchers, innovators and
entrepreneurs can apply for GCI
grants to tackle problems in
public health and food security,
and introduce their innovations to
this growing market.
Africa Initiative involves an Israeli
investment of $7 million and a
German investment of $70 million
for a joint mission to aid Kenya,
Ghana and Ethiopia in agriculture,
water management, food security
and health.
The volume of projects is too vast
to cover in one article, so here we
focus on some of the most
notable Israeli aid programs for
Africa in recent years, grouped
into categories to illustrate just
how extensive the impact is.
Better health
1.
Malaria, the most devastating
disease in sub-Saharan Africa,
claims the life of a child every 30
seconds. Researchers at the Kuvin
Center for the Study of Infectious
and Tropical Diseases at the
Hebrew University of Jerusalem
are dedicated to helping Africa
wipe out this disease just as Israel
did in the 1940s.
In December 2013, the
university’s Hadassah Braun
School of Public Health hosted an
international conference of malaria
experts to formulate a new
strategy for African nations.
Representatives from Gabon and
Zanzibar were there to see what
conclusions they could bring back
home, where anti-malaria efforts
have been only partially
successful.[/QUO
Hapana hizo 77 hotel, Kilimanjaro hotel, jengo la kitega uchumi, soko la kariakoo na majengo kibao mengine yalijegwa na MECCO kampuni ya kihandisi ya kitanzania enzi hizo.
usilolijua sawa na usiku wa kiza
 
Nimeisoma hiyo kwa makini na nataka nichangie hapa " Africa Initiative involves an Israeli investment of $7 million and a German investment of $70 million for a joint mission to aid Kenya, Ghana and Ethiopia in agriculture, water management, food security and health. Ukiangalia kwa makini miradi hiyo inathamani ya dolla 77 ambazo ukigawa kwa nci tatu ni sawa na dola 35.7 kwa ila nchi katika hizo tatu. Sasa kweli utasema huu ni mradi una positive effect na sisi inabid tujisalimishe kwao. President Magufuli in one month period has been able to raise usd 54 and handled over the TAZARA fly-over project as an initial contribution of Tanzanian government to the said project. Kiukweli hakuna nchi ambayo imenufaika na misaada ya nor Israel or other foreign countries. Ethiopia mnayodai inanufaika raia wake ndio wanaoandama nchini Israel kwa kubaguliwa na kuwa badly treated to the extent of Israel soldiers killed the Israel police officer with Ethiopia origin. Cha msingi tuelewe kuwa hakuna mtu takayeifanya Tanzania endelee zaidi ya sisi wenyewe, wakati umefika kusema kwamba sisi misaada isiyo ya lazima sasa basi, tufunge mikanda tufanye kazi kufa na kupona, uzalishe mali kila mtu katika nafasi yake, tulipe kodi zinazostahili, tubane mianya ya kukwepa kodi, tufungue milango ya uwekezaji, tusimamie matumizi ya serikali na kuhakikisha kuwa pesa tunayokusanya inaelekezwa kwenye mambi muhimu ya Kitaifa tu. Wewe ukiendelee Mzungu atamnyonya nani. Kutokana na utafiti nchi za Africa zinapoteza pesa nyingi sana kwenye ukwepaji wa kodi wa makampuni makubwa na misamaha ya kodi kwnenye makampuni hayo kuliko pesa za misaada tunazopokea toka nchi. Kama katika family level tunweza kusihi na ku balance maisha yetu kwanini tusifanye hivyo kitaifa kwamba tuishi kulingana na kipato chetu. Najua nchi yetu bado inaendelea na tunahitaji misaada toka nchi lakini tuangalie ni misaasa ya aina gani, tunataka misaada ya Kitaalam ziadi katika maeneo ya Sciend na technologia na tukitaka pesa basi tukope na tulipe sio tupewe bure, kwani kukopa na kulipa na jamabo la kwaida katika maisha kuanzia level ya familia hadi taifa. Tusipoteze uhuru na heshima yetu ya Kitaifa kwa kisingizio cha uchumi, hili ni Taifa ambalo Mwalimu ameliwekea misingi muhimu kama Taifa ikiwa kuthamini heshima na utu wa mtu na ndo maana tulivunja mahusioan na Rhodesia, Israel na Makaburu kwakuwa sera zao hazikuheshimu utu wa mtu na tuondelee hivyo. UMASIKINI wetu utaondolewa na sisi wenyewe kama vile wewe binafsi unavyofanya jitihada za kupambana na umasikini katika familia yako bila kumtegeme yeyote ndivy hivyo Tanzania inavyopaswa kufanya ili kujikomboa kiuchumi.

On a visit to Africa in 1958,
Foreign Minister Golda Meir
pledged Israeli help to find
solutions for severe challenges in
food security, water safety and
sanitation, healthcare, economic
growth, community building, the
empowerment of women and
education.
In the years since then, the
Foreign Ministry’s MASHAV,
Israel’s Agency for International
Development Cooperation, has not
only kept that promise, with
myriad projects primarily in
Ethiopia, Ghana, Kenya, Rwanda,
Senegal, South Sudan and Uganda,
but private Israeli companies and
nonprofit organizations have also
pitched in.
As ISRAEL21c has reported,
companies and organizations of
all shapes and sizes have lent
their expertise and people-power
to improve life in Africa. To top
this off, Israeli agencies such as
IsraAID consistently send relief
teams to alleviate food and
medical emergencies in countries
including Kenya and South Sudan.
MASHAV Director of Policy
Planning Ilan Fluss tells
ISRAEL21c that as a small country
of only eight million people, Israel
can’t invest as much in African
aid as larger countries can.
However, measuring impact in
terms of results puts Israel in a
singularly impressive light. “We
are constantly making more
programs and more partnerships,”
he says.
Two new projects were announced
this year: Grand Challenges Israel
(GCI) and the Israeli-German
Africa Initiative.
GCI is part of a global program to
support technological and
innovative approaches to public
health and food security in
developing countries. Israeli
researchers, innovators and
entrepreneurs can apply for GCI
grants to tackle problems in
public health and food security,
and introduce their innovations to
this growing market.
Africa Initiative involves an Israeli
investment of $7 million and a
German investment of $70 million
for a joint mission to aid Kenya,
Ghana and Ethiopia in agriculture,
water management, food security
and health.
The volume of projects is too vast
to cover in one article, so here we
focus on some of the most
notable Israeli aid programs for
Africa in recent years, grouped
into categories to illustrate just
how extensive the impact is.
Better health
1.
Malaria, the most devastating
disease in sub-Saharan Africa,
claims the life of a child every 30
seconds. Researchers at the Kuvin
Center for the Study of Infectious
and Tropical Diseases at the
Hebrew University of Jerusalem
are dedicated to helping Africa
wipe out this disease just as Israel
did in the 1940s.
In December 2013, the
university’s Hadassah Braun
School of Public Health hosted an
international conference of malaria
experts to formulate a new
strategy for African nations.
Representatives from Gabon and
Zanzibar were there to see what
conclusions they could bring back
home, where anti-malaria efforts
have been only partially
successful.
 
hapa africa hakuna ata nchi moja inayonufaika kwa kuwa rafiki na waisrail.........tuache matakwa ya kipuuzi tuangalie maslah ya nchi
 
Habari njema kabisa hatuwezi kuvunja ubalozi na taifa teule kisa pressure Za magaidi
Kwahiyo Mwalimu Nyerere ambae ndie hasa alivunja uhusiano na Israel alishinikizwa na magaidi?!! Halafu laiti mngejua hao Waisrael hata nyinyi wanawachukulia ni Shetani, wala msingejisumbua kuihusisha Israel na dini! Kwa kukusaidia tu, Google Jewish Article of Faith!! Sawa na wewe unavyomchukulia Mwislamu, Uyahudi inachukulia Ukristo nao ni ushetani!! Kwahiyo ijadili Israel politically lakini ukiingiza dini; nyinyi si wamoja-- wenzako hadi kesho wanamsubiria Masihi ambae alitabiriwa kwenye Torat!!!! Takribani miaka 4500 imepita... lakini wanaamini the guy will show up!!!
 
Back
Top Bottom